TANZIA Daktari Bake wa Burere afariki dunia

TANZIA Daktari Bake wa Burere afariki dunia

Mkuu Dr. Bake amesaidia sana watu wengi. Kuna watu walikua wakienda MOI wanaambiwa suluhu ni kukatwa viungo labda mguu/mkono lakini kwa Dr. Bake walikuwa wanafanyiwa miujiza. Dr Bake pengo lake halitazibika
Shida ya watanzania tunapenda kuongea sana, Mtanzania akishakariri kitu inakuwa tabu Kweli Kweli.
Dr bake, prof sarungi ni madaktari wa mwanzo wa mifupa, kwa kuwa walikuwa wachache mnoo walifaamika sana.
Lakini haimaanishi wao ndio kila kitu,, sasa hivi kuna madaktari wengi tu wamifupa tena waliotukuka apa Tanzania.
Watanzania mpunguze kuishi kwa mazoea.
 
Kama ni kweli, basi ni pigo kubwa mno kwa Watanzania.Kwa wasiomjua,huyu alikuwa ni Dr bingwa wa mifupa Tanzania.Na Inasemekana,mabingwa wa mifupa walikuwa ni yeye Dr Bake na Professor Sarungi
"Inasemekana mabingwa wa mifupa walikuwa yeye na Prof Sarungi "naomba iendelee kusemekana tu maana mabingwa wa Mifupa aka Orthopedic Surgeons wako wengi, ila hawa uliowataja waliondokea kuwa MAHILI ktk fani hii , tatizo nalo lion hapa ni Lugha yetu ya kiswahili maana daktari bingwa linatokana na neno Specialist Doctor au Medical Specialist kwa kiswahili ilitakiwa isomeke "Daktari aliyebobea "rather than "Bingwa".
 
Waliaga jana Kibaha kwa Mathias. Msafara wa ndugu, jamaa, marafiki, wake zake watatu ( walikuwa wanne rasmi), watoto wake wengi sana na wale wanawake wengine wengi tu wanaelekea Dodoma ambapo mwili utawasili Don kwa ndege ya kukodi. Ataagwa Dodoma alikofanya kazi miaka hiyo. Ndipo msafara kuelekea Mwanza ambapo ataagwa tena. Hatimaye wataelekea kuzika ujaluoni. Nimempenda kila mwanamke aliyezaa naye alimjengea na kumwanzishia biashara. Ila nyuma yako watakufuata. Mke wa pili alishatangulia. Poleni nurses wa Bake!!!!!!! Mliyataka wenyewe!!!!! Ushindani!!!
 
wa wapi? kuna tofauti gani ya kufa kwake na kwa watanzania wengine mpk umuweke humu? mboa watu kibao tu wanavuta na hawapewi airtime
 
Back
Top Bottom