Chance ndoto
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 4,363
- 10,265
Habari zilizosambaa jioni hii hapa mjini Kibaha inasemekana dokta bingwa wa mifupa dr. Bake amefariki dunia.
Dr. Bake enzi za uhai wake
Dr. Bake enzi za uhai wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna watu wa karibu wa familia. Majirani pia. Mbona unakua kama mgeni humu hii si thread. Mimi mpita njia ila ningependa kujua taarifa kamili..mbona kavu ivo wewe...embu tuliaHabari si umezileta wewe,sasa hayo maelezo zaidi atayatoa nani zaidi yako?
Kama ni kweli, basi ni pigo kubwa mno kwa Watanzania.Kwa wasiomjua,huyu alikuwa ni Dr bingwa wa mifupa Tanzania.Na Inasemekana,mabingwa wa mifupa walikuwa ni yeye Dr Bake na Professor SarungiYes ni kweli! Dr Bake daktari bingwa wa mifupa aliyeanzia kazi Tumbi hospital amefariki dunia poleni sana wanajumuiya ya shirika la elimu Kibaha pamoja na mwl na mama yangu mama Bake mkubwa wa kwa Mathias
Pia kwa Tanzania alikua akiferi yeye basi inabidi uende indiaKama ni kweli, basi ni pigo kubwa mno kwa Watanzania.Kwa wasiomjua,huyu alikuwa ni Dr bingwa wa mifupa Tanzania.Na Inasemekana,mabingwa wa mifupa walikuwa ni yeye Dr Bake na Professor Sarungi
Sasa ililetaje habari bila kuwa na uhakika,au ndio ulitaka uwe wa kwanza kupost kitu usichokuwa na uhakika nacho?Kuna watu wa karibu wa familia. Majirani pia. Mbona unakua kama mgeni humu hii si thread. Mimi mpita njia ila ningependa kujua taarifa kamili..mbona kavu ivo wewe...embu tulia
SahihiNgoja tusubiri taarifa kamili
Alianzia kazi DodomaYes ni kweli! Dr Bake daktari bingwa wa mifupa aliyeanzia kazi Tumbi hospital amefariki dunia poleni sana wanajumuiya ya shirika la elimu Kibaha pamoja na mwl na mama yangu mama Bake mkubwa wa kwa Mathias
Asante kwa masahihishoAlianzia kazi Dodoma
Tumeshapia. Nina imani ulipona. pole na weweDaaaah poleni wafiwa na watanzania wote. Niliwahi kupata tiba kwake
Alishauri operation nikaogopa[emoji24]Tumeshapia. Nina imani ulipona. pole na wewe
Wale wa mwanzo lakini wapo wengi Prof Laurance Mseru mkurugenzi Muhimbili ni bingwa mahili wa mifupa na kundi lake wanafunzi wa SarungiKama ni kweli, basi ni pigo kubwa mno kwa Watanzania.Kwa wasiomjua,huyu alikuwa ni Dr bingwa wa mifupa Tanzania.Na Inasemekana,mabingwa wa mifupa walikuwa ni yeye Dr Bake na Professor Sarungi
Watakuja kina Bake wengine wengi wazuri maisha mzunguko na hapa Duniani tunapita..(R.I.P Dr Bake)Kama ni kweli, basi ni pigo kubwa mno kwa Watanzania.Kwa wasiomjua,huyu alikuwa ni Dr bingwa wa mifupa Tanzania.Na Inasemekana,mabingwa wa mifupa walikuwa ni yeye Dr Bake na Professor Sarungi