thesonofafrica
Senior Member
- Feb 9, 2010
- 110
- 30
Pamoja na sifa zote hizo,sijawahi kuona hospitali isiyoheshimu maadili ya tiba kama Burere.Zablon has never bn in any medical school.Lakini anaingia theater na kushona wagonjwa.Hii hospitali tukiamua kuwa serious, ni ya kufunga.Mi namjuaga Kene tuu mkuu na wengine wengine kama akina Zabron,Dolo , Paulina n.k
Umetia chumvi mno.Tanzania imezalisha wataalamu wengine wengi wa mifupa wenye weledi uliotukuka.Vijana kwa wazee.Pia kwa Tanzania alikua akiferi yeye basi inabidi uende india
Sent from my itel it1505 using JamiiForums mobile app
Mabingwa ni 3 Dr Mwambe, Sarungi na Bake hawa ni balaa but siasa mbovu Sarungi kapewa uRC kaacha faniKama ni kweli, basi ni pigo kubwa mno kwa Watanzania.Kwa wasiomjua,huyu alikuwa ni Dr bingwa wa mifupa Tanzania.Na Inasemekana,mabingwa wa mifupa walikuwa ni yeye Dr Bake na Professor Sarungi
Mabingwa ni 3 Dr Mwambe, Sarungi na Bake hawa ni balaa but siasa mbovu Sarungi kapewa uRC kaacha faniKama ni kweli, basi ni pigo kubwa mno kwa Watanzania.Kwa wasiomjua,huyu alikuwa ni Dr bingwa wa mifupa Tanzania.Na Inasemekana,mabingwa wa mifupa walikuwa ni yeye Dr Bake na Professor Sarungi
Mkuu inaonekana unampenda Lenin Na lazima utakuwa Na tabia za kikomunistiAna kijana wake anaitwa Kene nafikiri ni mtaalamu pia na alimuandaa vya kutosha kuja kuendeleza hospital.
Mkuu Dr. Bake amesaidia sana watu wengi. Kuna watu walikua wakienda MOI wanaambiwa suluhu ni kukatwa viungo labda mguu/mkono lakini kwa Dr. Bake walikuwa wanafanyiwa miujiza. Dr Bake pengo lake halitazibikaUmetia chumvi mno.Tanzania imezalisha wataalamu wengine wengi wa mifupa wenye weledi uliotukuka.Vijana kwa wazee.
Utakuwa ulisoma evening class pale Kibaha Ss kati ya mwaka 1994 hadi 1997 nisahihishe kama nimekoseaDah nimesoma na mtoto wake anaitwa Doroth, pole kwa familia!
Kennedy mwanae tayari Alisha andaliwa nae ana PhD ya mifupa kama baba burere itaendelea tu
Ametia chumvi nyingi huyo..pengine hajawahi pata huduma sehemu nyingine..madocta wa mifupa wataalamu wapo wengi tu.aende pale moi..ndo ataelewa.Umetia chumvi mno.Tanzania imezalisha wataalamu wengine wengi wa mifupa wenye weledi uliotukuka.Vijana kwa wazee.
Mwaka 2010 ndugu yangu alipata ajali ya gari shinyanga baada ya kuletwa Muhimbili akaambiwa soution ni kukatwa mkono! Nakumbuka baba mkubwa alipinga kabisa ikababidi atafufwe njia mbadala ndo tukapata taarifa za dr Bake kwa kweli alitusaidia sana na alilipona kabisa kitu ni kama miujuza!Mkuu Dr. Bake amesaidia sana watu wengi. Kuna watu walikua wakienda MOI wanaambiwa suluhu ni kukatwa viungo labda mguu/mkono lakini kwa Dr. Bake walikuwa wanafanyiwa miujiza. Dr Bake pengo lake halitazibika
Habari zilizosambaa jioni hii hapa mjini Kibaha inasemekana dokta bingwa wa mifupa dr. Bake amefariki dunia.
View attachment 611845
Dr. Bake enzi za uhai wake
Kwani PHD ni mali ya magufuli wengine mpaka awape yeye!?Hana Phd ya mifupa.Msidanganye watu
Mwili umeagwa leo na utasafirishwa kuelekea musoma kuzikwa. Watoto wake wote wako salama jambo la kushukuru wanajaribu kuomba .. Roho ya marehemu bake ipumzike kwa amani.Aiseee kama hizi habari ni za kweli Mungu amlaze mahali pema mzee wetu Bake, daaaaah dunia hii mapito kwakweli, nawaza vijana wake sijui watakuwa katika hali gani saizi.
Akiferi= AkifeliPia kwa Tanzania alikua akiferi yeye basi inabidi uende india
Sent from my itel it1505 using JamiiForums mobile app
PhD ya mifupa ndio ikoje? Inasomwaje iyo Phd ya mifupaKennedy mwanae tayari Alisha andaliwa nae ana PhD ya mifupa kama baba burere itaendelea tu