TANZIA Daktari Bake wa Burere afariki dunia

TANZIA Daktari Bake wa Burere afariki dunia

Mi namjuaga Kene tuu mkuu na wengine wengine kama akina Zabron,Dolo , Paulina n.k
Pamoja na sifa zote hizo,sijawahi kuona hospitali isiyoheshimu maadili ya tiba kama Burere.Zablon has never bn in any medical school.Lakini anaingia theater na kushona wagonjwa.Hii hospitali tukiamua kuwa serious, ni ya kufunga.
 
Alipenda chini sana uyu mzee kuanzia picha ya ndege mpaka miembe saba kote anawake achilia mbali manesi R.I.P jirani
 
Kama ni kweli, basi ni pigo kubwa mno kwa Watanzania.Kwa wasiomjua,huyu alikuwa ni Dr bingwa wa mifupa Tanzania.Na Inasemekana,mabingwa wa mifupa walikuwa ni yeye Dr Bake na Professor Sarungi
Mabingwa ni 3 Dr Mwambe, Sarungi na Bake hawa ni balaa but siasa mbovu Sarungi kapewa uRC kaacha fani
 
Umetia chumvi mno.Tanzania imezalisha wataalamu wengine wengi wa mifupa wenye weledi uliotukuka.Vijana kwa wazee.
Mkuu Dr. Bake amesaidia sana watu wengi. Kuna watu walikua wakienda MOI wanaambiwa suluhu ni kukatwa viungo labda mguu/mkono lakini kwa Dr. Bake walikuwa wanafanyiwa miujiza. Dr Bake pengo lake halitazibika
 
Umetia chumvi mno.Tanzania imezalisha wataalamu wengine wengi wa mifupa wenye weledi uliotukuka.Vijana kwa wazee.
Ametia chumvi nyingi huyo..pengine hajawahi pata huduma sehemu nyingine..madocta wa mifupa wataalamu wapo wengi tu.aende pale moi..ndo ataelewa.
 
Mkuu Dr. Bake amesaidia sana watu wengi. Kuna watu walikua wakienda MOI wanaambiwa suluhu ni kukatwa viungo labda mguu/mkono lakini kwa Dr. Bake walikuwa wanafanyiwa miujiza. Dr Bake pengo lake halitazibika
Mwaka 2010 ndugu yangu alipata ajali ya gari shinyanga baada ya kuletwa Muhimbili akaambiwa soution ni kukatwa mkono! Nakumbuka baba mkubwa alipinga kabisa ikababidi atafufwe njia mbadala ndo tukapata taarifa za dr Bake kwa kweli alitusaidia sana na alilipona kabisa kitu ni kama miujuza!

R I P Dr. Bake
 
Aiseee kama hizi habari ni za kweli Mungu amlaze mahali pema mzee wetu Bake, daaaaah dunia hii mapito kwakweli, nawaza vijana wake sijui watakuwa katika hali gani saizi.
 
Aiseee kama hizi habari ni za kweli Mungu amlaze mahali pema mzee wetu Bake, daaaaah dunia hii mapito kwakweli, nawaza vijana wake sijui watakuwa katika hali gani saizi.
Mwili umeagwa leo na utasafirishwa kuelekea musoma kuzikwa. Watoto wake wote wako salama jambo la kushukuru wanajaribu kuomba .. Roho ya marehemu bake ipumzike kwa amani.

Sent from my itel it1505 using JamiiForums mobile app
 
Alikuwa Mzee mashuhuri na maarufu sana Kibaha mtu maarufu aliye kabaki Kibaha Mzee Njuweni
 
He was a good friend of my dad.
R.I .P Dk.Bake.
Mzee Sarungi Bingwa mwenzio wanasiasa wamemuacha azeeke na ujuzi wake . Nakumbuka kwenye mid - 90s rafiki yangu George Masatu alivunjika kusigino watu wakafikiri hatakaa arudi tena uwanjani lakini professor Sarungi alimrudisha Masatu uwanjani bila kuchukua pesa yoyote kwa Masatu au club yake ya Simba ; maana huyo mzee Sarungi ni Simba kindakindaki
 
Back
Top Bottom