Daktari Bingwa: Kuna kilevi kwenye kinywaji cha “energy”

Nyeto nayo ina kilevi au hayo madawa maana nayo ina addiction?
Hii haina addiction bali ni suala la kujitakia tu mkuu. Kwani usipopiga nyeto si unaweza kugegeda? Wapiga nyeto wanajitakia wenyewe kwani siku hz kuna wanawake wengi sana wa kugegeda na wwanapatikana kirahisi na kwa unafuu.
 
Idadi ya nyuzi zinazoeleza madhara ya endergy drink huku jamiiforums ni nyingi kuliko hata bangi, sasa kwanini zinakuwa na Arosto kali namna hii?! Wanaweza madawa gani humo?!
 
Cafeine
Naingia kwenye mada moja kwa moja. Juzi niliongea na daktari bingwa anayemiliki hospitali kubwa jijini kuhusu chanzo cha uraibu unaosababishwa na kinywaji cha energy. Daktari huyu alinihakikishia kwamba kinywaji chochote kinachosababisha uraibu lazima kinakuwa na kilevi au dawa za kulevya.

Jibu hili lilinifanya nifikiri sana kuhusu kinwaji cha energy kinachotengenezwa na matajiri wakubwa wawili hapa nchini. Madhara ya kinywaji hiki yamewahi kufanyiwa utafiti na madaktari wa hospitali ya Muhimbili ambao waliwahi kumfanyia upasuaji wa mishipa ya moyo iliyoziba mgonjwa mmoja mraibu wa energy ambaye alikuwa akigida sio chini ya chupa 5 za energy kwa siku.

Napenda kuelekeza lawama zangu kwa matajiri hawa wawili wanaowaua raia kimyakimya huku serikali ikiwa imekaa kimya imejikita kwenye ukusanyaji wa kodi wakati afya za wapigakura zinadhurika. Dawa za kulevya na vilevi vinavyotiwa kwenye kinywaji cha energy zina madhara makubwa kuliko uvutaji wa bangi au sigara.

Bangi imepigwa marufuku hapa nchini. Watengenezaji wa sigara wanaandika onyo kwenye paketi ya kila sigara: uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya yako. Ni kwanini serikali haiwahimizi hawa matajiri wawili waandike maandishi kwenye chupa za energy:….unywaji wa energy ni hatari kwa afya yako….kama ilivyo kwenye sigara? Ina maana wameamua kuwaacha wapigakura wauawe na matajiri halafu mwaka 2025 nani atawapigia kura?

Sijawahi kuona nchi ya ajabu na isiyojali afya za wananchi wake kama hii nchi ya kusadika na kufikirika, Tanzania. Watawala wanataka wafe watu wangapi ndipo wachukue hatua? Inasikitisha na inahuzunisha sana.
 
Babu yangu alikuwa akinywa kahawa toka akiwa na miaka 20 mpaka leo 83 bado anadunda na kahawa ina caffein nyingi kuliko izo energy acheni kupotosha watu
 
Amazing Side of the Life ni kwamba Unywe usinywe energy drinks, sijui uwe vegetarian, sijui ule unakula Pork au nyama nyekundu, sijui uwe mlevi, mvutaji nasema hivi KIFO KIKO PALE PALE.
Tena unaweza kuta mvutaji sigara akaishi miaka mingi kuliko vegetarian..! So Kuna siri kubwa sana kati ya Mungu na Uhai wa viumbe vyake.

Yaani wakati hata kabla hujaja duniani Mwenyezi Mungu anajua kabisa utaishi miaka mingapi hiyo ni siri hapo Nimeongelea mambo ya Rohoni.

Ila ya mwilini ndo haya tunayopigana kila siku usile hiki kula kile, fanya mazoezi haya...
Ishi maisha yako yanayokupa furaha ilimradi usimkufuru Muumba wako( kwa wale wa Imani).
Utu busara! Daktari aliekufa kwa ugonjwa unaosababishwa kwa kula vyakula ambavyo yeye mwenyewe anawashauri watu wengine wasile.
 
Naingia kwenye mada moja kwa moja. Juzi niliongea na daktari bingwa anayemiliki hospitali kubwa jijini kuhusu chanzo cha uraibu unaosababishwa na kinywaji cha energy. Daktari huyu alinihakikishia kwamba kinywaji chochote kinachosababisha uraibu lazima kinakuwa na kilevi au dawa za kulevya.

Jibu hili lilinifanya nifikiri sana kuhusu kinwaji cha energy kinachotengenezwa na matajiri wakubwa wawili hapa nchini. Madhara ya kinywaji hiki yamewahi kufanyiwa utafiti na madaktari wa hospitali ya Muhimbili ambao waliwahi kumfanyia upasuaji wa mishipa ya moyo iliyoziba mgonjwa mmoja mraibu wa energy ambaye alikuwa akigida sio chini ya chupa 5 za energy kwa siku.

View attachment 2928674
Napenda kuelekeza lawama zangu kwa matajiri hawa wawili wanaowaua raia kimyakimya huku serikali ikiwa imekaa kimya imejikita kwenye ukusanyaji wa kodi wakati afya za wapigakura zinadhurika. Dawa za kulevya na vilevi vinavyotiwa kwenye kinywaji cha energy zina madhara makubwa kuliko uvutaji wa bangi au sigara.

Bangi imepigwa marufuku hapa nchini. Watengenezaji wa sigara wanaandika onyo kwenye paketi ya kila sigara: uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya yako. Ni kwanini serikali haiwahimizi hawa matajiri wawili waandike maandishi kwenye chupa za energy:….unywaji wa energy ni hatari kwa afya yako….kama ilivyo kwenye sigara? Ina maana wameamua kuwaacha wapigakura wauawe na matajiri halafu mwaka 2025 nani atawapigia kura?

Sijawahi kuona nchi ya ajabu na isiyojali afya za wananchi wake kama hii nchi ya kusadika na kufikirika, Tanzania. Watawala wanataka wafe watu wangapi ndipo wachukue hatua? Inasikitisha na inahuzunisha sana.
Hiki kinywaji kitawaua watanzania wengi sana kabla serikali haijakipiga marufuku.
 
1710599474035.png
 
Back
Top Bottom