Daktari Bingwa: Kuna kilevi kwenye kinywaji cha “energy”

Daktari Bingwa: Kuna kilevi kwenye kinywaji cha “energy”

Pitia haya mambo
Kilevi ni nini ?
Stimulants ni nini ?
Depressants ni nini ?

Hata Kahawa ni Stimulant...

Baada ya hayo kila kitu kikizidi hakifai na sio vizuri kuwa tegemezi wa chochote kile
Sasa wewe unashauri nini kifanyike kuwanusuru watanzania wanaokufa kila siku kwa sababu ya kunywa energy mkuu?
 
Kwanini serikali isizuie utengenezaji wa hizi energy zinazoua watu kila kukicha? Mbona wanazuia bangi na kuwaacha Mo na Bakhresa waendelee kuwaua raia wasiokuwa na hatia? Sio vizuri na haipendezi hata kidogo.
bangi haina ushuru,ila MO na BARESA wanalipa ushuru man!!
 
yes!! ndo manake KENYA mirungi ni halali!!
Mkuu kuwa sirias. Energy ni hatari kuliko mirungi. Serikali inapaswa isikie kilio cha wananchi ipige marufuku matumizi ili kuokoa roho za watanzania wanaoteketea kila siku kwa kunywa energy
 
Watawala mliowachagua ndo muwaambie hivo.
Ni kwamba tu kinachoingia tumboni au cha bei ndogo,hicho hicho tulicho na uwezo nacho,ndo tunaangalia kwanza.
Ila kiukweli, sisemi niliacha,ila madhala ya hiki kinywaji hayaelezeki. Na ujiulize kwa nini alieonja haachi. Wazazi wasiojitambua nao,kama alovosema mmoja hapa,hashindwi kimnunulia mtoto,huku chupa imeandikwa haruhusiwi. Na cha ajabu,watengenezaji hawatumii. Changanya hii na ile mikuku mfupa unakatwa kama karatasi, tutakua na afya gani?
 
1709204222146.png
 
Hakuna aliyebisha kuwa hizo energy ni hatari ila tunaweka taarifa sawa kwamba hazina kilevi
Caffeine sio kilevi mkuu? Hebu kuwa serious na afya za watanzania wenzako basi
 
Back
Top Bottom