Daktari Bingwa: Kuna kilevi kwenye kinywaji cha “energy”

Daktari Bingwa: Kuna kilevi kwenye kinywaji cha “energy”

Kuna Mjinga mmoja kwa siku anakata Mo Energy hata 5 mpaka 6/7 yeye ni Mo Energy anazinywa km wanavyokunywa Soda au Maji yaan anakunywa km vinywaji vya kawaida tu
 
Kumbe wewe umekaririshwa kuwa kilevi ni alcohol tu? Basi sawa mkemia mkuu wa serikali.
Sio kukalilishwa, ndio ukweli stimulant na alcohol hata mwilini zinafanya kazi tofauti. Badala ya kubisha jihabarishe...
Mtu akigongwa na gari akafa huwezi sema amegongwa na kifaru akafa eti kisa kifo ni kifo. Kuna umuhimu wa kutoa taarifa sahihi
 
Kuna Mjinga mmoja kwa siku anakata Mo Energy hata 5 mpaka 6/7 yeye ni Mo Energy anazinywa km wanavyokunywa Soda au Maji yaan anakunywa km vinywaji vya kawaida tu
Huyo kifo kinamsubiri. Aanze kuweka pesa za mazishi mapema sio anagida sumu afe awaachie ndugu zake matatizo.
 
Huyo kifo kinamsubiri. Aanze kuweka pesa za mazishi mapema sio anagida sumu afe awaachie ndugu zake matatizo.
Jamaa ukimcheck yupo fresh tu ingawa kuna siku hua anapatwa kahoma Ila anakunywa sana energy drink sana sana Mo Energy anazinywa kuna siku alipiga 8 alafu anacheka tu, anakunywa km Soda
 
Mimi nina uraibu wa supu na chapati 2 hasa mida ya asubuhi. Kwa mujibu wa mleta uzi zile chapati zina madawa ya kulevya
Mwili ukishauzoesha ndio unatengeneza uraibu, mfano usingeuzoesha kunywa maji ungekua unakunywa unga mwili ungestick na unga uraibu wako ukisikia kiu unatafuta unga sio maji
 
Alafu unafikiri hao wawili wao na familia zao wanatumia hayo madude
Wanayoyatengeneza

Ova
Utakuta familia zao zinafuata ushauri wa Dr Janabi kwa 100%. Hapa TZ kila mtu alinde familia yake. Mwanasiasa anatokwa na povu kiswahili kiwe lugha ya kufundishia huku watoto wakiwa London masomoni.
 
Jamaa anaumwa tu kichwa naona ndio kinachomkuta hizo energy drink anaanza kunywa kuanzia asubuhi kabla ya chai anafuta Chupa 1 kwanza ya energy,
Hicho kichwa kinachouma ni kwa sababu ya kuongezeka mapigo ya moyo. Mwambie apunguze kunywa hicho kilevi kitakuja kumuua kwa ghafla atamuacha demu wake masela yanajigongea kavu hapa duniani.
 
Hicho kichwa kinachouma ni kwa sababu ya kuongezeka mapigo ya moyo. Mwambie apunguze kunywa hicho kilevi kitakuja kumuua kwa ghafla atamuacha demu wake masela yanajigongea kavu hapa duniani.
Ni Baba wa watoto wawili ana mke kabisa sio demu, nilishamwambia sana Ila ndio hivyo 'kenge hasikii mpaka sikio livuje damu'
 
Umeambiwa usinywe zaidi ya chupa 2 kwa siku, we unakunywa chupa 5 kwa siku hapo nani mwenye makosa?
Hapo ajilaumu mwenyewe maana tulishamkanya mara nyingi lakini hasikii
 
Taurine na Cafeine hazina madhara labda uwe na Matatizo ya Moyo ikiwamo Shinikizo la Kupanda la Damu na usinywe nyingi.
 
Back
Top Bottom