Daktari kesi ya Afande Rama asema baada ya vipimo amebaini kuna uwazi sehemu za siri za nyuma za mshtakiwa

Daktari alitakiwa kuulizwa kama vidole vya wanadamu vinalingana upana na urefu

Alafu aeleze Mahakama kwanini vidole viwili na sio vitatu au kimoja

Then aulizwe kama anafahamu njia mbali mbali za kupima tezi dume

Then aambiwe azitaje zote

Akiitaja ile ya kupitisha kidole nyuma

Aulizwe kikipita huyo mtu atakuwa ni shoga?

Arudishwe kuulizwa alitumia kilainishi kupitisha kidole kwenye kundu la mshtakiwa?

Akisema ndio, aulizwe kazi ya hicho kilainishi ilikuwa ni nini?

Akisema kurahisisha muingilio, aulzwe kwa hiyo alilazimisha kuingiza hivyo vidole kwa kutumia kilainishi kilichowezesha vidole kupenya

Hapo atashangaa shangaa akijibu itakua kwao

Then aambiwe ajibu swali na aieleze Mahakama kwanini alitumia kilainishi.

vyovyote atakavyojibu, aulizwe je kikitumika kilainishi kidole kinaweza kupita kwenye kundu lake yeye daktari?

Akijibu hapana kapona akijibu ndio anakutana na swali baya zaidi

aieleze Mahakama kwanini kipenye na je yeye ni shoga.

Akijibu, unamuangalia alafu unaiambia Mahakama huna swali lingine kwa shahidi

Jamhuri wapambane kumrudisha kwenye mstari.

Haya yote sio kwamba tunatetea ushogahapana ni tunataka Jamhri ikisema huyu ni shoga ituambie imejuaje na kuthibitisha vipi na je wakati inafanya yote hayo taratibu za kisheria zilifuatwa?, la sivyo wanaweza siku wakasema mtu yoyote ni shoga na asipate wa kumtetea. Hiyo nfio kazi yetu Mawakili, hatutetei uovu ila tunahakikisha ukisema huu ni uovu useme umejuaje n uovu na mtenda ndio huyo uliyemkamata
 
Ndivyo wa mareekani wa fukayosi walivyo waelekeza
 
Ingekua nchi kama palestina, mambo yasingefika kote huku!
 
Hizi kuntu kabisa. daktari anatakiwa kufunguliwa kesi ya udhalilishaji na ya kuidanganya mahakama kwa kuleta ushahidi wenye mashaka.
 
Izo zingine mbwembwe tu, ili wanasheria waonekane wanafanya kazi.
Ushahidi namba moja ni hiyo hiyo video basi...
 
Yani umesema kweli kabisa
 
Izo zingine mbwembwe tu, ili wanasheria waonekane wanafanya kazi.
Ushahidi namba moja ni hiyo hiyo video basi...
Sio mbwembwe Mkuu, amini hata wewe unaweza ukakutana na video clip imefanyiwa utundu ikawekwa sura yako hapo, sasa je ukipelekwa Mahakamani, Mahakama ikukute hatiani kwa hiyo video clip?.

Hata ile video lazima ikaguliwe na mtoa ushahidi atakayeitoa ile clip Mahakamani lazima aeleze kwanini Mahakama iiamini. Nadhani hilo wanaliona na ndio maana wamekwepa kuionesha kwa kisingizio cha mfungo.

Haya mambo ni magumu Mkuu, unaweza kamatwa hujafanya kosa ukapelekwa Mahakamani ukatolewa ushahidi kwa jicho la kawaida ukaonekana ushahidi umenyooka hatari na ndani ukapelekwa, Mungu sio Athumani ukatokea kwenye rufaa.

Haya mambo yapo na ndio maana Mawakili tupo na tunahitaji utaratibu ufuatwe ndipo mtu atiwe hatiani. Sio watu wakurupuke na hisia zao wamtie mtu hatiani.
 
Yametimia na maoni yako.
 
Daktari mpuuzi tuu na hakuna kipimo cha ushoga, Njia ya uhakika kujua mtu ni shoga ni yeye mwenyewe kukubali yeye ni shoga na awe na akili timamu
 
... binadamu yeyote aliyekamilika, as all mamals do, ana uwazi sehemu ya nyuma kutolea uchafu kukamilisha digestion system.
 
Wasingeweza kumkuta na hatia Mkuu, hili kwa mtu anayejua sheria lilikuwa wazi kabisa nafas ya yeye kushinda ilikuwa kubwa sana. Ila wabongo ukiwaambia wanaona kama mtu unatetea upinde kumbe ni sheria tu zinaongea Mahakamani sio hisia
 
Wasingeweza kumkuta na hatia Mkuu, hili kwa mtu anayejua sheria lilikuwa wazi kabisa nafas ya yeye kushinda ilikuwa kubwa sana. Ila wabongo ukiwaambia wanaona kama mtu unatetea upinde kumbe ni sheria tu zinaongea Mahakamani sio hisia
Wabongo wamezoea hukumu style ya Makonda, jamaa alikuwa akitoa list za mashoga na wauza unga unaitwa ofisini unapewa hukumu na kama una hela unamkatia unaambiwa usirudie tena, bongo tuna wanasheria wazuri sana tatizo mfumo umeingiliwa na siasa na viongozi wapuuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…