Daktari kesi ya Afande Rama asema baada ya vipimo amebaini kuna uwazi sehemu za siri za nyuma za mshtakiwa

Daktari kesi ya Afande Rama asema baada ya vipimo amebaini kuna uwazi sehemu za siri za nyuma za mshtakiwa

Naona maswali muhimu sana ambayo sina hakika kama yameulizwa ni;

1. Shihidi aieleze Mahakama kama yeye ni mtaalamu wa mfumo wa chakula wa mwanadamu na kama ametoa ushahidi kuthibitisha hilo

2. Shahid, upo uwezekano wa puru/m.kundu wa mwanadamu kuwa wazi kutokana.na maradhi kama bawasiri?

3. Shahidi mlimpima mshtakiwa kama anaugonjwa wa bawasiri?

4. Shahidi, ieleze Mahakama bawasiri zipo ya aina ngapi na huwa inaathiri sehemu gani ya mwili wa mwanadamu

5. Je, upo uwezekano mtuhumiwa kuwa na ugonjwa wa bawasiri

6. Shahidi kama mtaalamu wa afya je, wapo watu wanaozaliwa na uwazi kama alionao mtuhumiwa?

7. Je, na wao wameupata kwa kuingiliwa na vitu vigumu kwa nje?

8. Vitu vigumu unavyovitaja ni vitu gani hivyo, shahidi?

Alafu inavutwa pumzi maana maswali yanayofuata yataharibu swaumu za waja.

Uwazi sio hitimisho kuwa mtu analiwa tako.
Haya maelezo yaendane na video yake akiulilia muwasho
 
Hizi kesi unafanya uchunguzi wa nn wakati videos zinaonesha kabisa jamaa analilia mkunyenge. Huyu kupigwa shaba hadharan tu wenzake wajifunze
ndo ubaya wa utawala wa sheria!lzm na yeye ajitetee!
 
Ukute kipindi dokta anafanya vipimo alikuwa anarembua kabisa kama alivyorembua kwenye IST.

Ila katika hili sakata lote mbona sijasikia mshirika wake wa video akitajwa?? Kwahiyo kosa ni kwa mfanywaji tu na si mfanyaji??
😂Kwa mujibu wa sheria za nchi sisi "wanasheria" tunasema ,mkund* ni mali ya jamhuri ila dushe ni la muhusika, hivo basi mtu akiliwa tako ana kesi ila ukitumia vibaya dushe sio kosa
 
Back
Top Bottom