Daktari: Uvaaji Pedi muda mrefu, kupulizia pafyumu uke kipindi cha hedhi na Uvaaji wa Skin Tight ni chanzo cha muwasho na harufu kali

wazee wa uvinza wana roho ngumu sana 🤣
 
hili darasa ni vema sana wakalizingatia kwasabb hata kwa akili ya kawaida achilia mbali kidakitari iko mantiki mujarabu sana fanyieni kazi huu ushauri huenda ule weusi sijui ni sugu au kutu vinaweza kupungua.

Maana huwa najiuliza huwa unatoka wap kwa pisi kali na zinavyopendeza vile
 
Skin tights zinasaidia kupunguza friction ya mapaja kama mtu amevaa skirt au gauni. Pia zinasaidia wakati wa upepo mkali kubaki na kakitu ndani nguo ikifunuka. Cha muhimu muda wa kulala kujiachia bila kuvaa kitu ndani ya sleepwear
 
Weusi hutokana na msuguano wa mapaja
Na pia njia za kushave.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…