Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Inaenda kama umefungua koki🤣🤣
Nii inatokea wakati wa kuamka,kama ulilala
Ukisimama sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaenda kama umefungua koki🤣🤣
[emoji2][emoji23][emoji2] umbea huoHuku nimefata nini.
Duh aiseee hapo kama mpo wawili inabidi uwe na kitanda chako kabisa 😄Inaenda kama umefungua koki🤣🤣
Nii inatokea wakati wa kuamka,kama ulilala
Ukisimama sasa
Unamtafuta maneno mtu hapa[emoji2]..Huyu jamaa mada zake ni wanawake tu. Something is wrong somewhere
Kuna Mmoja nilimkaza mwaka 2016 alikuwa ananuka ( anatema ) Mbunye yake ( japo alikuwa ni Mremho, Msomi mkubwa na Daktari Hospitali moja kubwa na maarufu Ilala ) na nakumbuka Harufu yake Kali nilibaki nayo Mwilini mwangu kwa Wiki Mbili na kuanzia hapo Nikamchukia mazima na tukaishia pale pale.
Kumbe hawa viumbe wanapuliza hadi pafyumu huko mahali? aisee mabaharia tunauziwa sana vitu kwenye gunia.
hivi kuna jukwaa la wanawake humu?Umbea😂
HamnaDuh aiseee hapo kama mpo wawili inabidi uwe na kitanda chako kabisa 😄
Sidhanihivi kuna jukwaa la wanawake humu?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]NimechekaaHuku nimefata nini.
Hapana aisee huo ni muda wa mapumziko na kupeana nafasi 😄Hamna
Si tunakuwa tumevaa hizo pad.
Kwanza mtu akiamka kituo Cha kwanza huwa ni washroom.
Sasa huko ndo unaenda kuweka mambo sawa
Nafasi lazima.Hapana aisee huo ni muda wa mapumziko na kupeana nafasi 😄
hili darasa ni vema sana wakalizingatia kwasabb hata kwa akili ya kawaida achilia mbali kidakitari iko mantiki mujarabu sana"Mwanamke awapo Hedhini anatakiwa Kuvaa Pedi ( Sodo ) kwa Saa 3 au 4 tu, ila Wanawake Wengi wanazivaa kati ya Saa 8 hadi Saa 12 kitu ambacho ni Hatari mno kwa Afya zao"
"Wanawake wengine ili Kupunguza Harufu Kali ya Damu yao ya Hedhi huamua Kujipulizua Pafyumu kitu ambacho ndiyo Hatari maradufu Kwao"
"Uke wa Mwanamke yoyote una Bacteria wazuri ambao hupambana na Hatari yoyote hivyo uvaaji wa Pedi kwa muda mrefu, Upuliziaji wa Pafyumu na Uvaaji wa Skin Tights zao husababjsha Joto Kubwa na Kali Ukeni ambao huwazidi Nguvu Bacteria wazuri kisha Kuzalisha Bacteria wabaya ambao husababisha Uke wao Kuwawasha, kutoka na Fangasi na kutoa Harufu Kali ambayo Siku hizi imekuwa ni Kero Kubwa kwa Wanaume wengi nchini"
Nukuu zote hizi GENTAMYCINE nimezitoa kwa Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Wanawake na akina Mama jana Usiku Saa 4 alipoalikwa Wasafi FM katika Kipindi cha Usiku kinachoongozwa na Mtangazaji Diva The Boss.
Dada zangu JF Elimu hii iwasaidieni!!
fanyieni kazi huu ushauri huenda ule weusi sijui ni sugu au kutu vinaweza kupungua."Mwanamke awapo Hedhini anatakiwa Kuvaa Pedi ( Sodo ) kwa Saa 3 au 4 tu, ila Wanawake Wengi wanazivaa kati ya Saa 8 hadi Saa 12 kitu ambacho ni Hatari mno kwa Afya zao"
"Wanawake wengine ili Kupunguza Harufu Kali ya Damu yao ya Hedhi huamua Kujipulizua Pafyumu kitu ambacho ndiyo Hatari maradufu Kwao"
"Uke wa Mwanamke yoyote una Bacteria wazuri ambao hupambana na Hatari yoyote hivyo uvaaji wa Pedi kwa muda mrefu, Upuliziaji wa Pafyumu na Uvaaji wa Skin Tights zao husababjsha Joto Kubwa na Kali Ukeni ambao huwazidi Nguvu Bacteria wazuri kisha Kuzalisha Bacteria wabaya ambao husababisha Uke wao Kuwawasha, kutoka na Fangasi na kutoa Harufu Kali ambayo Siku hizi imekuwa ni Kero Kubwa kwa Wanaume wengi nchini"
Nukuu zote hizi GENTAMYCINE nimezitoa kwa Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Wanawake na akina Mama jana Usiku Saa 4 alipoalikwa Wasafi FM katika Kipindi cha Usiku kinachoongozwa na Mtangazaji Diva The Boss.
Dada zangu JF Elimu hii iwasaidieni!!
Skin tights zinasaidia kupunguza friction ya mapaja kama mtu amevaa skirt au gauni. Pia zinasaidia wakati wa upepo mkali kubaki na kakitu ndani nguo ikifunuka. Cha muhimu muda wa kulala kujiachia bila kuvaa kitu ndani ya sleepwearSawa tutaoa ila nanyi acheni kuinyima Mbunye ( K ) Uhuru wake kwa Kuivalishia Chupi, Skin Tights na hapo hapo tena Unaitesa kwa kuipulizia Pafyumu kwani ndiyo Chanzo Kikuu cha kuwa zinatema ( zinanuka ) sana hadi Kunikera GENTAMYCINE nikiwa nakitafuta Kimoko ( Kimoja ) cha Mayele Kitandani.
Weusi hutokana na msuguano wa mapajahili darasa ni vema sana wakalizingatia kwasabb hata kwa akili ya kawaida achilia mbali kidakitari iko mantiki mujarabu sana
fanyieni kazi huu ushauri huenda ule weusi sijui ni sugu au kutu vinaweza kupungua.
Maana huwa najiuliza huwa unatoka wap kwa pisi kali na zinavyopendeza vile
Weka kwanza ile avatar ya mwanzo tafadhali.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimechekaa