Daktari wa Hospitali ya Amana asomewa mashtaka ya ubakaji, ulawiti

Daktari wa Hospitali ya Amana asomewa mashtaka ya ubakaji, ulawiti

Me siku hizi hivi vitoto naviuliza NIDA ipo wapi? Kama hakina NIDA kije na Birth certificate.

Unakuta kana 16 ila mambo makubwa ova 30s.
 
Dar wanapenda pesa hao waswahili. Usikute familia ya uyo mtoto ilimtajia kiasi kikubwa cha pesa waipotezee iyo kesi kijamii jamas akagoma.

Dar mabint wanatumwa kuvuta mkwanja kwa watu wazito kupitia skendo kama hizo.
Usitoe lift kizembe yatakukuta!
 
Back
Top Bottom