Francofighter
Senior Member
- Sep 1, 2016
- 122
- 61
Kuishi Dar kunahitaji akili Sana . Dr kweli amekosea kutembea na mtoto ila kwa maisha ya Dar hapo Kuna namna kukosa pesa kunahusika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasi wanyakyusa wenzie tumhasa aache kufanya Ivo...vibaya sanaMnyakyusa huyo mbakaji
Angalia umri wa binti,urejee tafsiri ya neno ubakaji.Hiyo kesi ni ngumu na ya kufedhehesha sana pengine LABDA daktari alikua na mahusiano na binti na ikaja kugundulika kwa wazazi wa binti, wakambananisha binti akaongea yote sasa wakaona wamuangushie jumba bovu daktari kwamba alibaka.
Kwa trend hiyo kwamba Kabakwa na kulawitiwa February 2022, mtu huyo huyo karudia tena kubakwa mei 31,2022 tena kabakwa nyumba ya wageni iliyopo temeke. Kwa nini asingeenda kushtaki hiyo hiyo february mara baada ya kubakwa mara ya kwanza? Hapo inawezekana kulikua na makubaliano japo daktari kafanya kosa kubwa sana kula mgonjwa wake
Mimi sio daktari ila nafaham. Hujui ata maana ya specialist, wewe ndio mazuzu sasa, nb ni stereotype sio steriotype. Ni nesi soma vyanzo vya kuaminika. Madakrari kwa madaktari wanajuana na kuheshmiana sana. Sasa mazuzu nyie ndio mnawaharibia brand, kila bwege hospital mnaita daktari, mi mtaani huwa siiti mtu dokta kilofalofa.Madokta bwana na "steriotype" zenu,
Ni daktari mwenzenu huyo na ni specialist kabisa!
Ni muuguzi.Ni mwenyeji wa mkoa gani huyo daktari!
Fair enough mkuu, sasa wewe weka facts hapa kuwa suspect huyu SIO Dr.na hana shahada ya udakitari yaani MBBch, nasubiria facts zako plsUzi umeandikwa na mtu mzembe na mvivu wa kujua. Medical assistant si medical assistant, usiniambie na wewe ni mbulula kiasi hicho. Mimi pamoja na kuwa sio kada ya afya nimesoma na nina marafiki huko, daktari ni mhitimu wa shahada ya medicine yani degree na kuendelea. Hao wengine ni nyie wajinga tu ndio mnawapa hadhi wasionazo kuharibu taaluma za watu.
Uzi umeandikwa na mtu mzembe na mvivu wa kujua. Medical assistant si medical assistant, usiniambie na wewe ni mbulula kiasi hicho. Mimi pamoja na kuwa sio kada ya afya nimesoma na nina marafiki huko, daktari ni mhitimu wa shahada ya medicine yani degree na kuendelea. Hao wengine ni nyie wajinga tu ndio mnawapa hadhi wasionazo kuharibu taaluma za watu.
Link ya habari ipo hapo, Muuguzi Hospitali ya Amana kortini tuhuma za kubaka, kulawiti mtotoFair enough mkuu, sasa wewe weka facts hapa kuwa suspect huyu SIO Dr.na hana shahada ya udakitari yaani MBBch, nasubiria facts zako pls
Ok let's keep our right to disagree, uzi huo na uliotangulia hauna facts kusema huyu ni nurse or doctor, but it's ok mkuu haina haja ya kumaliza data zetu hapa, ningekua nchi zinazojielewa ninge google information za mtaalamu huyu na kujiridhiaLink ya habari ipo hapo, Muuguzi Hospitali ya Amana kortini tuhuma za kubaka, kulawiti mtoto
Mkuu nipo mkoani Ruvuma,wilaya ya Namtumbo kijiji cha lingusenguse, vitu viwili vibaya haviwezi kutengeneza kitu kimoja bora, hakuna sex ya makubaliano na under age, na wewe kitendo cha kuwaita binti zetu,dada zetu,mama zetu Malaya inaonyesha ni jinsi gani ulikosa malefic yenye upendo kutoka kwa wazazi wako,respect women mkuuMkuu kwani wewe unakaa nchi gani, Tz, under 18 wengi tu ni malaya na wengine wanafanya hadi kazi za bar!
Kesi ya ubakaji ina dhamana.
Exactly mkuu, under age hawezi ku apply mind Sawa Sawa, ni working class ya kitanzania wana take advantage hiyo na matokeo yake ,nchi tunazaliana kama simbilisi, uchumi ukue kwa 4 to 5%,na sisi tunaongezeka kwa 3.7%,hii ni craze mkuuKuna sheria Kama hiyo aliyoitaja but nafikiri age 16yrs inaruhusiwa kufunga ndoa ila ilidhiwe na wazazi na binti mwenyewe. Hii sheria wanaharakati wa mambo ya jinsia wanailalamikia kwa kuwa inapishana na tafsiri ya neno mtoto.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
We ndo wale mpaka tuition ndio muelewe. Kipo wazi kabisa. Hakuna daktari hapo tunaidharau sana hiyo taaluma tunawachkulia poa. Ni sawa na fundi wiring umuite mhandisi.Ok let's keep our right to disagree, uzi huo na uliotangulia hauna facts kusema huyu ni nurse or doctor, but it's ok mkuu haina haja ya kumaliza data zetu hapa, ningekua nchi zinazojielewa ninge google information za mtaalamu huyu na kujiridhia
Sijaelewa hapa kwann amepewa dhamanaDkt. Joseph Mwaipola ambaye ni mtumishi wa Hospitali ya Amana Mkoani Dar es Salaam, leo Septemba 9, 2022 amefikishwa kizimbani Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashitaka matatu yakiwemo kumbaka mtoto wa miaka 17.
Shitaka hilo limesikilizwa mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi, Yusto Ruboroga ambapo mashitaka yamesomwa na Wakili wa Serikali Mwandamizi, Sylvia Mitanto.
Shtaka la kwanza ni ubakaji, Wakili Sylvia amedai mshitakiwa alitenda kosa hilo Februari 2022 katika Hospitali ya Amana.
Shtaka la pili inadaiwa Mei 31, 2022 akiwa katika nyumba ya wageni ya Pazuri iliyoko Wilaya ya Temeke, Dar es Salaam, mshitakiwa alimbaka binti huyo.
Shtaka la tatu ni kulawiti, mshitakiwa anadaiwa alitenda kosa Februari 2022 katika Hospitali ya Amana, ambapo alimlawiti binti huyo.
Mshtakiwa amekana mashtaka, upande wa mashitaka umeeleza kuwa upelelezi wa shauri hilo umekamilika na unaomba tarehe ya kumsomea maelezo ya awali.
Hakimu Roboroga ametoa masharti ya dhamana kuwa mshtakiwa anatakiwa kuwa na wadhamini wawili wenye barua ya utambulisho pamoja na Vitambulisho vya kura au vya kazi watakaotia saini dhamana ya Tsh. milioni tano.
Mshtakiwa aliweza kutimiza masharti ya dhamana, hivyo yuko nje kwa dhamana, kesi itatajwa Oktoba 5, 2022 kwa ajili ya kumsomea maelezo ya awali (PH).
Kiswahili kigumu sana! Kurawiti binti ndiyo kitu gani?Dkt. Joseph Mwaipola ambaye ni mtumishi wa Hospitali ya Amana Mkoani Dar es Salaam, leo Septemba 9, 2022 amefikishwa kizimbani Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashitaka matatu yakiwemo kumbaka mtoto wa miaka 17.
Shitaka hilo limesikilizwa mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi, Yusto Ruboroga ambapo mashitaka yamesomwa na Wakili wa Serikali Mwandamizi, Sylvia Mitanto.
Shtaka la kwanza ni ubakaji, Wakili Sylvia amedai mshitakiwa alitenda kosa hilo Februari 2022 katika Hospitali ya Amana.
Shtaka la pili inadaiwa Mei 31, 2022 akiwa katika nyumba ya wageni ya Pazuri iliyoko Wilaya ya Temeke, Dar es Salaam, mshitakiwa alimbaka binti huyo.
Shtaka la tatu ni kulawiti, mshitakiwa anadaiwa alitenda kosa Februari 2022 katika Hospitali ya Amana, ambapo alimlawiti binti huyo.
Mshtakiwa amekana mashtaka, upande wa mashitaka umeeleza kuwa upelelezi wa shauri hilo umekamilika na unaomba tarehe ya kumsomea maelezo ya awali.
Hakimu Roboroga ametoa masharti ya dhamana kuwa mshtakiwa anatakiwa kuwa na wadhamini wawili wenye barua ya utambulisho pamoja na Vitambulisho vya kura au vya kazi watakaotia saini dhamana ya Tsh. milioni tano.
Mshtakiwa aliweza kutimiza masharti ya dhamana, hivyo yuko nje kwa dhamana, kesi itatajwa Oktoba 5, 2022 kwa ajili ya kumsomea maelezo ya awali (PH).
Hakuna ch journalist wala ushuzi gani hapo. 💩Kiswahili kigumu sana! Kurawiti binti ndiyo kitu gani?