Usikimbilie tu kutukana watu wajinga, hii dunia ina mambo mengi na kumbuka hujafa hujaumbika!
Kesi ya ubakaji inapohusisha nyumba ya kulala wageni, hizo ni dalili za kesi ya mchongo.
Huyo binti alienda kufanya nini kwenye vyumba vya gesti? Miaka 17 kwa binti ni anaelewa kila kitu, siyo mtoto huyo, anajua gesti wanafanyaga nini, aliingia vyumbani kufanya nini?
Binti wa miaka 17 kama ana mwili, anaonekana mkubwa tu, utajuaje kwamba ni under 18, kwani wanatembea na vyeti vya kuzaliwa?
Hizi kesi ni sahihi kwa wanafunzi, kama siyo mwanafunzi miaka 17 vingi ni vimalaya tu vilishakubuhu, huwezi kumkuta binti umri huo bikra kama hasomi shule.
Huyo daktari anatuhumiwa kumbaka zaidi ya mara moja kwa nyakati tofauti, ilikuwaje alikuwa hatoi taarifa mara zote hizo na wanaendelea kukutana kwa ajili ya ngono? Hujiulizi kwamba inawezekana walipishana makubaliano, au wazazi walipogundua wakamshinikiza binti kushtaki?
Ndugu, usikilimbilie kujidai una uchungu sana, hii kesi ina dalili zote za mchongo!