Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Hakuna sex ya makubaliano na under age ndio kusemaje? Huyo under age akidanganywa na chipsi kuku akaenda kulala na muuza chipsi hayo siyo makubaliano?Mkuu nipo mkoani Ruvuma,wilaya ya Namtumbo kijiji cha lingusenguse, vitu viwili vibaya haviwezi kutengeneza kitu kimoja bora, hakuna sex ya makubaliano na under age, na wewe kitendo cha kuwaita binti zetu,dada zetu,mama zetu Malaya inaonyesha ni jinsi gani ulikosa malefic yenye upendo kutoka kwa wazazi wako,respect women mkuu
Sema kwamba ni kosa la jinai hata kama mmekubaliana, hapo nitakuelewa.
Hutaki binti zetu, dada zetu na mama zetu waitwe malaya, tutumie jina gani? Wanawake na mabinti wanaofanya biashara ya ngono huko Namtumbo hawapo? Mnawaitaje?