Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 26,961 Reaction score 77,890 Sep 10, 2022 #101 Me siku hizi hivi vitoto naviuliza NIDA ipo wapi? Kama hakina NIDA kije na Birth certificate. Unakuta kana 16 ila mambo makubwa ova 30s.
Me siku hizi hivi vitoto naviuliza NIDA ipo wapi? Kama hakina NIDA kije na Birth certificate. Unakuta kana 16 ila mambo makubwa ova 30s.
TUJITEGEMEE JF-Expert Member Joined Nov 6, 2010 Posts 25,225 Reaction score 25,488 Sep 10, 2022 #102 BABA Dillish said: Dar wanapenda pesa hao waswahili. Usikute familia ya uyo mtoto ilimtajia kiasi kikubwa cha pesa waipotezee iyo kesi kijamii jamas akagoma. Dar mabint wanatumwa kuvuta mkwanja kwa watu wazito kupitia skendo kama hizo. Click to expand... Usitoe lift kizembe yatakukuta!
BABA Dillish said: Dar wanapenda pesa hao waswahili. Usikute familia ya uyo mtoto ilimtajia kiasi kikubwa cha pesa waipotezee iyo kesi kijamii jamas akagoma. Dar mabint wanatumwa kuvuta mkwanja kwa watu wazito kupitia skendo kama hizo. Click to expand... Usitoe lift kizembe yatakukuta!