Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,559
- 12,518
- Thread starter
- #21
Kweli mkuu yakiamua kuleta nomaMaji hayana mjuzi
Kweli mkuu yakiamua kuleta nomaMaji hayana mjuzi
Wana njia bora sana za kujifunza tofauti na hapa kwetu.Aisee
Bachelar of Medicine
Bachelar of Surgery
Mmed internal medicine
Mmed anasthelogy
Halafu ana umri wa miaka 38
Kweli sisi bongo tunapoteza sana muda shuleni kwa elimu hizo zote angekua babu kama angesomea Bongo.
R.I.P specialist
Sasa hizo Bachelor degree zote si angekuwa bado anasoma.View attachment 3374554
Tumempoteza daktari bingwa wa dawa za usingizi hospitali ya taifa Muhimbili. Dr.Zhang Junqiao amefariki juzi tarehe 15/06/2025 huko Kigamboni baada ya kuzama majini wakati akimuokoa mwananchi aliyekuwa anazama. Siku ya tukio Dr.Zhang alimuona mwananchi akizama na yeye kuamua kujitosa majini kumuokoa. Alipomfikia alimpatia jaketi lake la kuogelea na yeye kwa kuwa ni mzoefu akaogelea bila jaketi. Raia aliyekua akizama alifanikiwa kuokolewa, lakini maji yalimzidi nguvu Dr.Zhang akazama na kupoteza maisha.
Dr.Zhang alikuwa daktari Bingwa wa Dawa za Usingizi na Ganzi (Anesthesiologist), raia wa China aliyekuwa anafanya kazi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Dr.Zhang alikua alikua na shahada ya udaktari wa binadamu (Bachelor of Medicine) Shahada ya upasuaji (Bachelor of Surgery), shahada ya umahiri katika matibabu ya ndani (Master of Internal Medicine) na shahada ya umahiri katika dawa za usingizi (Master of anesthesiology). Pia alikua na cheti cha ithibati ya kimataifa cha kuhudumu kama daktari bingwa wa dawa za usingizi katika nchi zaidi ya 100 duniani (NMLE).
Dr.Zhang atakumbukwa kwa mchango wake mkubwa wa kuhudumia jamii ya watanzania, pamoja na umahiri wake kufundisha njia mpya za dawa za usingizi na ganzi. Atakumbukwa pia kwa ucheshi wake, uchangamfu wake na passion yake katika kazi. Dr.Zhang amekufa kishujaa akijaribu kuokoa maisha ya Mtanzania mwenzetu aliyekua akizama. Huu ni upendo wa ajabu. Dr.Zhang amefariki akiwa na umri wa miaka 38. Tumuombee pumziko la amani.!
Malisa
Wapo wa umri huo na elimu kama hiyo Muhimbili.Aisee
Bachelar of Medicine
Bachelar of Surgery
Mmed internal medicine
Mmed anasthelogy
Halafu ana umri wa miaka 38
Kweli sisi bongo tunapoteza sana muda shuleni kwa elimu hizo zote angekua babu kama angesomea Bongo.
R.I.P specialist
DahZinawatokea wasio na hatia sana...wenye hatia wanaendelea kupiga domo wakiwa hawana faida yoyote ulimwenguni humu...
Bongo ingekuaWana njia bora sana za kujifunza tofauti na hapa kwetu.
Ni wa bongo?Wapo wa umri huo na elimu kama hiyo Muhimbili.
Tena wameanzua Clinical oficer, MD russia, MMED anaest,
MMED surgery.
Na uzoefu kazini.
Yes wabongoNi wa bongo?
Primary 7Wapo wa umri huo na elimu kama hiyo Muhimbili.
Tena wameanzua Clinical oficer, MD russia, MMED anaest,
MMED surgery.
Na uzoefu kazini.
Samahani unaweza ukainisha na miaka yao walivyosoma ili tuone maana kusema wamesoma hivyo na wana uzoefu kazini hesabu zinagoma mkuu au huko nje unaweza soma vitu viwili kwa wakati mmoja?Yes wabongo
Utakuwa unazo D 2 mkuu, umeng'amua hili!
Kama wamesoma nje ni hivyo hivyo?Primary 7
Secondary 4
Advance 2 / CO 3
Bachela of medicine 6
Bachela of surgery 3
Mmed of internal 3
Mmed of anastethology 3
Jumla miaka 29 hiyo maanake non stop bila sup wala kupumzika hata mwaka mmoja hapo utajumlisha na miaka ya kusudibiri matokeo na kwenda level nyingine kama 3 hivi. Jumpa 32
Umesema wana uzoefu kazini pia ? Hesabu zinagoma mzee