HOLY BLINDFOLD
JF-Expert Member
- Jun 13, 2024
- 3,690
- 6,380
Maji Hayana Matawi.....Kweli mkuu yakiamua kuleta noma

R.I.PView attachment 3374554
Tumempoteza daktari bingwa wa dawa za usingizi hospitali ya taifa Muhimbili. Dr.Zhang Junqiao amefariki juzi tarehe 15/06/2025 huko Kigamboni baada ya kuzama majini wakati akimuokoa mwananchi aliyekuwa anazama. Siku ya tukio Dr.Zhang alimuona mwananchi akizama na yeye kuamua kujitosa majini kumuokoa. Alipomfikia alimpatia jaketi lake la kuogelea na yeye kwa kuwa ni mzoefu akaogelea bila jaketi. Raia aliyekua akizama alifanikiwa kuokolewa, lakini maji yalimzidi nguvu Dr.Zhang akazama na kupoteza maisha.
Dr.Zhang alikuwa daktari Bingwa wa Dawa za Usingizi na Ganzi (Anesthesiologist), raia wa China aliyekuwa anafanya kazi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Dr.Zhang alikua alikua na shahada ya udaktari wa binadamu (Bachelor of Medicine) Shahada ya upasuaji (Bachelor of Surgery), shahada ya umahiri katika matibabu ya ndani (Master of Internal Medicine) na shahada ya umahiri katika dawa za usingizi (Master of anesthesiology). Pia alikua na cheti cha ithibati ya kimataifa cha kuhudumu kama daktari bingwa wa dawa za usingizi katika nchi zaidi ya 100 duniani (NMLE).
Dr.Zhang atakumbukwa kwa mchango wake mkubwa wa kuhudumia jamii ya watanzania, pamoja na umahiri wake kufundisha njia mpya za dawa za usingizi na ganzi. Atakumbukwa pia kwa ucheshi wake, uchangamfu wake na passion yake katika kazi. Dr.Zhang amekufa kishujaa akijaribu kuokoa maisha ya Mtanzania mwenzetu aliyekua akizama. Huu ni upendo wa ajabu. Dr.Zhang amefariki akiwa na umri wa miaka 38. Tumuombee pumziko la amani.!
Malisa
Angekaa hadi lini ungeridhika?Inasikitisha sana watu wote wenye utu Huwa hawakai
Inabidi wawe mabalozi miaka ipunguzwe kuna muda watu wanapoteza shule uneccesaryKama wamesoma nje ni hivyo hivyo?
Chai.View attachment 3374554
Tumempoteza daktari bingwa wa dawa za usingizi hospitali ya taifa Muhimbili. Dr.Zhang Junqiao amefariki juzi tarehe 15/06/2025 huko Kigamboni baada ya kuzama majini wakati akimuokoa mwananchi aliyekuwa anazama. Siku ya tukio Dr.Zhang alimuona mwananchi akizama na yeye kuamua kujitosa majini kumuokoa. Alipomfikia alimpatia jaketi lake la kuogelea na yeye kwa kuwa ni mzoefu akaogelea bila jaketi. Raia aliyekua akizama alifanikiwa kuokolewa, lakini maji yalimzidi nguvu Dr.Zhang akazama na kupoteza maisha.
Dr.Zhang alikuwa daktari Bingwa wa Dawa za Usingizi na Ganzi (Anesthesiologist), raia wa China aliyekuwa anafanya kazi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Dr.Zhang alikua alikua na shahada ya udaktari wa binadamu (Bachelor of Medicine) Shahada ya upasuaji (Bachelor of Surgery), shahada ya umahiri katika matibabu ya ndani (Master of Internal Medicine) na shahada ya umahiri katika dawa za usingizi (Master of anesthesiology). Pia alikua na cheti cha ithibati ya kimataifa cha kuhudumu kama daktari bingwa wa dawa za usingizi katika nchi zaidi ya 100 duniani (NMLE).
Dr.Zhang atakumbukwa kwa mchango wake mkubwa wa kuhudumia jamii ya watanzania, pamoja na umahiri wake kufundisha njia mpya za dawa za usingizi na ganzi. Atakumbukwa pia kwa ucheshi wake, uchangamfu wake na passion yake katika kazi. Dr.Zhang amekufa kishujaa akijaribu kuokoa maisha ya Mtanzania mwenzetu aliyekua akizama. Huu ni upendo wa ajabu. Dr.Zhang amefariki akiwa na umri wa miaka 38. Tumuombee pumziko la amani.!
Malisa
Wejamaa nikilaza kweli
Kitu ambacho huelewi ukishakua serikalini MCT haina umuhilu sana kukufanya utambulike ndo maana madaktari karibia wote wanaofanya serikalini hua hawauhishi taarifa zao kwenye chama cha madaktari.
R.I.P Dr. Zhang. Gone a Hero!View attachment 3374554
Tumempoteza daktari bingwa wa dawa za usingizi hospitali ya taifa Muhimbili. Dr.Zhang Junqiao amefariki juzi tarehe 15/06/2025 huko Kigamboni baada ya kuzama majini wakati akimuokoa mwananchi aliyekuwa anazama. Siku ya tukio Dr.Zhang alimuona mwananchi akizama na yeye kuamua kujitosa majini kumuokoa. Alipomfikia alimpatia jaketi lake la kuogelea na yeye kwa kuwa ni mzoefu akaogelea bila jaketi. Raia aliyekua akizama alifanikiwa kuokolewa, lakini maji yalimzidi nguvu Dr.Zhang akazama na kupoteza maisha.
Dr.Zhang alikuwa daktari Bingwa wa Dawa za Usingizi na Ganzi (Anesthesiologist), raia wa China aliyekuwa anafanya kazi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Dr.Zhang alikua alikua na shahada ya udaktari wa binadamu (Bachelor of Medicine) Shahada ya upasuaji (Bachelor of Surgery), shahada ya umahiri katika matibabu ya ndani (Master of Internal Medicine) na shahada ya umahiri katika dawa za usingizi (Master of anesthesiology). Pia alikua na cheti cha ithibati ya kimataifa cha kuhudumu kama daktari bingwa wa dawa za usingizi katika nchi zaidi ya 100 duniani (NMLE).
Dr.Zhang atakumbukwa kwa mchango wake mkubwa wa kuhudumia jamii ya watanzania, pamoja na umahiri wake kufundisha njia mpya za dawa za usingizi na ganzi. Atakumbukwa pia kwa ucheshi wake, uchangamfu wake na passion yake katika kazi. Dr.Zhang amekufa kishujaa akijaribu kuokoa maisha ya Mtanzania mwenzetu aliyekua akizama. Huu ni upendo wa ajabu. Dr.Zhang amefariki akiwa na umri wa miaka 38. Tumuombee pumziko la amani.!
Malisa
Weka hizo zingine .Kitu ambacho huelewi ukishakua serikalini MCT haina umuhilu sana kukufanya utambulike ndo maana madaktari karibia wote wanaofanya serikalini hua hawauhishi taarifa zao kwenye chama cha madaktari.
Pia zipo kozi ambazo MCT wenyewe wanashindwa kuzitambua waweke kwenye kundi lipi hasa kwa wale waliosoma nje so usishangae huyo jamaa kutokuwek taarifa zote kumuhusu.
Hivyo MCT sio claification kua huyu mtu amesoma mpaka wapi wengi huweka za bachela tu akishapata ajira huwa hawa update.
R.I.P. Hakika amekufa kushujaa.View attachment 3374554
Tumempoteza daktari bingwa wa dawa za usingizi hospitali ya taifa Muhimbili. Dr.Zhang Junqiao amefariki juzi tarehe 15/06/2025 huko Kigamboni baada ya kuzama majini wakati akimuokoa mwananchi aliyekuwa anazama. Siku ya tukio Dr.Zhang alimuona mwananchi akizama na yeye kuamua kujitosa majini kumuokoa. Alipomfikia alimpatia jaketi lake la kuogelea na yeye kwa kuwa ni mzoefu akaogelea bila jaketi. Raia aliyekua akizama alifanikiwa kuokolewa, lakini maji yalimzidi nguvu Dr.Zhang akazama na kupoteza maisha.
Dr.Zhang alikuwa daktari Bingwa wa Dawa za Usingizi na Ganzi (Anesthesiologist), raia wa China aliyekuwa anafanya kazi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Dr.Zhang alikua alikua na shahada ya udaktari wa binadamu (Bachelor of Medicine) Shahada ya upasuaji (Bachelor of Surgery), shahada ya umahiri katika matibabu ya ndani (Master of Internal Medicine) na shahada ya umahiri katika dawa za usingizi (Master of anesthesiology). Pia alikua na cheti cha ithibati ya kimataifa cha kuhudumu kama daktari bingwa wa dawa za usingizi katika nchi zaidi ya 100 duniani (NMLE).
Dr.Zhang atakumbukwa kwa mchango wake mkubwa wa kuhudumia jamii ya watanzania, pamoja na umahiri wake kufundisha njia mpya za dawa za usingizi na ganzi. Atakumbukwa pia kwa ucheshi wake, uchangamfu wake na passion yake katika kazi. Dr.Zhang amekufa kishujaa akijaribu kuokoa maisha ya Mtanzania mwenzetu aliyekua akizama. Huu ni upendo wa ajabu. Dr.Zhang amefariki akiwa na umri wa miaka 38. Tumuombee pumziko la amani.!
Malisa
Ku&a &lmaa&k0 mwana Haram ulizaliwa bila bismilahi ..utaalamu wake wa usingizi ukamtafutia kifo.Ndo hawa wakina mifano ya chawa wa ccm yani wao kila lolote wanaweza kumtetea mama