Daktari wa Kichina afariki akimuokoa mama aliyekuwa anazama majini Kigamboni

Aisee

Bachelar of Medicine
Bachelar of Surgery
Mmed internal medicine
Mmed anasthelogy

Halafu ana umri wa miaka 38

Kweli sisi bongo tunapoteza sana muda shuleni kwa elimu hizo zote angekua babu kama angesomea Bongo.

R.I.P specialist
Wana njia bora sana za kujifunza tofauti na hapa kwetu.
 
Sasa hizo Bachelor degree zote si angekuwa bado anasoma.
 
Aisee

Bachelar of Medicine
Bachelar of Surgery
Mmed internal medicine
Mmed anasthelogy

Halafu ana umri wa miaka 38

Kweli sisi bongo tunapoteza sana muda shuleni kwa elimu hizo zote angekua babu kama angesomea Bongo.

R.I.P specialist
Wapo wa umri huo na elimu kama hiyo Muhimbili.
Tena wameanzia Clinical oficer, MD russia, MMED anaest,
MMED surgery.
Na uzoefu kazini.
 
Wana njia bora sana za kujifunza tofauti na hapa kwetu.
Bongo ingekua
Primary 7
Secondary 4
Advance 2
Bachela of medicine 6
Bachela of surgery 6
Mmed of internal 3
Mmed of anastethology 3

Jumla miaka 31 hiyo maanake non stop bila sup wala kupumzika hata mwaka mmoja hapo utajumlisha na miaka ya kusudibiri matokeo na kwenda level nyingine kama 4 hivi. Jumpa 35
 
Hakika Inasikitisha sana. Najiuliza maji yalimzidije akazama?

Sijawahi kuogelea kwenye bahari lakini nimeogelea ziwani na mtoni. Tukiwa vijana wadogo ( umri wa miaka 12- 13) tulikuwa tunaogelea maji yenye kina kirefu, mara 3 ya kimo chetu bila life jacket na tumewahi kumwokoa kijana mkubwa kuliko sisi ambaye alikuwa hajui kuogelea.

Haya maji ya baharini ni tofauti na ya ziwani au mtoni? Au Dr hakuwa na uzoefu wa kutosha? Au kuna mkondo wa maji yanayotembea baharini ?

Sijui nini kilimkuta huyu Dr najaribu kuwaza tu kwa sauti? Alikuwa wa pekee kwa kweli amekufa akiokoa maisha ya mtu
 
Wapo wa umri huo na elimu kama hiyo Muhimbili.
Tena wameanzua Clinical oficer, MD russia, MMED anaest,
MMED surgery.
Na uzoefu kazini.
Primary 7
Secondary 4
Advance 2 / CO 3
Bachela of medicine 6
Bachela of surgery 3
Mmed of internal 3
Mmed of anastethology 3

Jumla miaka 29 hiyo maanake non stop bila sup wala kupumzika hata mwaka mmoja hapo utajumlisha na miaka ya kusudibiri matokeo na kwenda level nyingine kama 3 hivi. Jumpa 32
Umesema wana uzoefu kazini pia ? Hesabu zinagoma mzee
 
Kama wamesoma nje ni hivyo hivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…