Daktari wa Kichina afariki akimuokoa mama aliyekuwa anazama majini Kigamboni

Aisee

Bachelar of Medicine
Bachelar of Surgery
Mmed internal medicine
Mmed anasthelogy

Halafu ana umri wa miaka 38

Kweli sisi bongo tunapoteza sana muda shuleni kwa elimu hizo zote angekua babu kama angesomea Bongo.

R.I.P specialist
Si ndo Nimewaza hapo mkuu😂Yani hapo mimi master yangu itanikuta naitafuta 40 sahv Nina degree moja
 
Aisee

Bachelar of Medicine
Bachelar of Surgery
Mmed internal medicine
Mmed anasthelogy

Halafu ana umri wa miaka 38

Kweli sisi bongo tunapoteza sana muda shuleni kwa elimu hizo zote angekua babu kama angesomea Bongo.

R.I.P specialist
Uhai haupimwi kwa uhai , kwa mungu wote sawa ila sasa ukute aliyeokolewa ni mtu kama Mwijaku au lucas mwakachamba
 
RIP Dr. Zhang, amekufa kishujaa akipambania kuokoa maisha ya mwingine. Ni upendo wa ajabu. Mwenyezi Mungu airehemu roho yake na kuwajaalia familia yake faraja.
 
Ahsante.

Unadhani kwa nini mtaalam kasindwa na maji mwananchi kaokoka ? Ni lile jacket alilotupiwa ?

Ni life jacket au jacket la dereva boda ??

Ingekuwa ni habari ya uzunguni tungepewa hizi details za hatari ya hiyo bahari. Sio ma degree ya Mchina. Kwenye suala la janga na ajali Ma degree ya Mchina yanatusaidia nini ???
 
Kitu chochote ambacho kinakufanya uelee kitakusaidia usizame
 
Asante Dr kwa moyo wa kujitolea kuokoa maisha ya mtu usiyemjua. Mbingu ikawe yako. Bwana Yesu akakukumbuke. Amina
 
Au ndio maana nimepita mochwari muhimbili nimeona wachina wengi na wengine Wana sare Leo jioni
 
Hatimae tumepata mtu ambae sanamu yake inapaswa kujengwa posta,huyu siyo tu apumzike kwa amani ila Nina uhakika atapumzika kwa amani,. ......... Ameyapoteza maisha yake kwa ajili ya wengine,ukoo wa yesu mwenyewe
 
Kweli alimpenda jirani yake kama nafsi yake!
 
Ila mbogamboga sio wa kuwaamini kabisa ukute haikuwa hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…