Daladala bye bye hii namba C inanitosha. Asante Sana Allah

Daladala bye bye hii namba C inanitosha. Asante Sana Allah

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Sasa daladala bye bye
Kaa vizuri na Mungu

Muda huu nipo hapa Banana Big John Katika Sheli ya Petro Africa

Vijana tuishi Katika Mungu Mimi hii namba C inanitosha
IMG_20221127_130156_809.jpg
 
Hongera kwa kununua Dungu jeshi, naona taratibu watanzania tunaacha kuendesha vibakuli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo kakutana na beamer namba C bei sawa na bure,sasa zikianza root za mara kwa mara petrol station na garage na kama hana kipato stable ndiyo atazidi kukumbuka heshima ya daladala.
 
Back
Top Bottom