DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Hongera ila ukiishi kimya kimya bila kutangaza mambo yako utaishi poa sana...Sasa daladala bye bye
Kaa vizuri na Mungu
Muda huu nipo hapa Banana Big John Katika Sheli ya Petro Africa
Vijana tuishi Katika Mungu Mimi hii namba C inanitosha
View attachment 2428881
Wewe na nani je mna chama chenu kimesajiriwa 😂😅Sisi kama umoja wa wapanda daladala tunakwambia "hapa utakuja tu"
Safi inapendeza.Sasa daladala bye bye
Kaa vizuri na Mungu
Muda huu nipo hapa Banana Big John Katika Sheli ya Petro Africa
Vijana tuishi Katika Mungu Mimi hii namba C inanitosha
View attachment 2428881
Ni kama chaputa tu, chama kipo ila wanachama wanatoka na kuingia kila siku na hawajulikani.Wewe na nani je mna chama chenu kimesajiriwa 😂😅
Huenda lengo lake ni kuwainspire vijana na sio kujionyesha.Hongera ila ukiishi kimya kimya bila kutangaza mambo yako itaishi poa sana...
HongeraSasa daladala bye bye
Kaa vizuri na Mungu
Muda huu nipo hapa Banana Big John Katika Sheli ya Petro Africa
Vijana tuishi Katika Mungu Mimi hii namba C inanitosha
View attachment 2428881
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo kakutana na beamer namba C bei sawa na bure,sasa zikianza root za mara kwa mara petrol station na garage na kama hana kipato stable ndiyo atazidi kukumbuka heshima ya daladala.Hongera kwa kununua Dungu jeshi, naona taratibu watanzania tunaacha kuendesha vibakuli