Hongera,ila angalia hiyo gari ina miaka imetumika kwa wenye akili na inaonekana mpya..sasa wewe hapo kwa wanuka vikwapa Bongo,baada ya miezi sita tutumie picha tena tuione inaonekana vipi???
Haya people bana. Si lazima uwe na gari ndo usipande daladala. Tumia tax, Uber, n.k.
Hapa nia yako najua unataka tujue unamiliki gari aina gani. Anyway hatuna uhakika kama hiyo ni namba C, tena hatujui kama ni yako. Useless...