Daladala za Mbezi kupitia Manzese, Fire hadi Mnazi Mmoja zimeanza kazi rasmi

Daladala za Mbezi kupitia Manzese, Fire hadi Mnazi Mmoja zimeanza kazi rasmi

Nielewe, nimesema kama ni kuleta foleni basi bajaj ndio zinaleta foleni, bajaj ziondolewe na ma Bus yaletwe mengi tu 20/40 yatasaidia kwa kusaidiana na mwendo kasi, kumbuka wenyemizigo mikubwa na vitu vinavyo kataliwa kwenye mwendokasi watapata mbadala. Uniombe radhi mimi Ksheikh wapi na wapi kwenye makongoro ya kitimoto?
Shekhe nasikia unakunywa bia na kula wanawake wa nje ila kitimoto ndio hugusi kabisa
 
Waruhusu hizo gari zipite njia ya mwendokasi. Maisha yawe marahisi
 
Mtu mweusiii ni changamoto kubwa kwenye hii dunia kiukwelii...!! HATUWEZI KUJISIMAMIA KABISA. Mwendokasi mradi unaongiza fedha za kutosha unakufa kisa mabus ambayo bajeti ya Bilion 100 tu inatosha kuokoa mradi watu wakapata huduma bora ila sasa Ni mwendo wa kununua Mavieiteee ya wabunge na bajeti za matumizi ya kipumbavuu tu.. kurudisha gari za kawaida ni moja ya uamuzi wa kipumbavu kabida huwezi solve tatizo kwa kutengeneza tatizo lingine kubwa foleni zitakazozalishwa hapo itakuwa ni usumbufu mkubwa badala ya kuwa msaada kwa watu. BLACK PEOPLE WE ARE CURSED FOR SURE.
 
Tatizo mwendo kasi hawana mameneja wa kusimamia kazi.Pia naomba waajiliwe wanawake madereva kuliko wanaume.
 
Baada ya miaka 8 kupita, hatimaye Daladala za Mbezi- Kariakoo kupitia Morogogoro Road zimerejeshwa tena. Daladala hizi zilisitishwa mwaka 2016 baada ya Mradi wa Mabasi ya Mwendokasi kuanza ila LATRA imeamua kurejesha tena daladala hizi. Una mtazamo gani kuhusu jambo hili?
Mabasi ya mwendo Kasi yamezidiwa uwezo wa kufanya kazi,abiria wa hiyo route yaani Mdezi to Kariakoo wamekuwa wengi kuliko uwezo wa mabasi hayo ya UDART,kama Mwandishi alivyoelezea hapo lilikuwa ni suala la mda tu,nawashukuru sana viongozi wa hiyo mamlaka iitwayo LATRA kwa kuliona na kulifanyia kazi Hilo tatizo,japo wamechelewa sana lakini pongezi ziwafikie,inabidi kama kunamwekezaji mwingine atapewa hiyo kazi ya mabasi ya mwendo Kasi,itambidi asafiri aende kwenye nchi nyingine zenye mabasi kama hayo,akajifunze jinsi ya kuuendesha mradi kama huo bila kusababisha kero kwa abiria.
 
Safi sana namkumbuka David Mwaibula enzi zake route zilikuwa nyingi.
 
Back
Top Bottom