Daladala za Mbezi kupitia Manzese, Fire hadi Mnazi Mmoja zimeanza kazi rasmi

Lilikuwa ni suala la muda tu na hatimaye unaweza kusema tumerudi nyuma au tumerudi kwenye maisha yetu ya kawaida au tuliyozoea.

Daladala za kutokea Mbezi mpaka Mnazi Mmoja kupitia Manzese, Magomeni, Fire hadi mnazi mmoja zimeanza kazi rasmi leo.

Hadi muda huu bado zipo chache sana, ila kwa sisi wazee kuliko kuendelea kukaa kusubiri mwendokasi masaa mawili hii ni nafuu.

Na ukiona una ubavu na unaweza kupanda basi unasogea hapo mnazi mmoja ukiwa umeshiba.

Tatizo tunaloenda kupambana nalo ni foleni kutokana na barabara kubana.

PIA SOMA
- Baada ya Serikali kushindwa ni muda sasa wa kurejesha Daladala za kusafirisha abiria Kariakoo-Kimara-Mbezi
Zingefika hadi kivukoni ingekaa poa Sana
 
Wanaondesha usafiri katika jiji la Dar Ni vilaza kupitiliza. Wanarudisha mabasi bila kua na vituo.
Foleni zisizo za muhimu zinarudi Tena.
Hivi hapo jiji wanaona shida gani kuajiri watu wenye akili?
Wabunge wapo, wakuu wa wilaya wapo, mkuu wa mkoa yupo lkn wanashindwa kukaa na kuja na kitu chenye kuleta unafuu kwa maisha yetu.
Baada ya kukosa ubunifu wanawaandama dada utamu.
Bora Min bus kuliko huu utitiri wa bajaj zilizochukua nafasi ya mabasi kwa sasa. Wafute bajaji zote za mmbezi/Manzese waziache daladala zifanye kazi. Wewe ingekua unapita njia hii usingeandika upuuzi wako. Buses 20/40 sii sawa na utitiri wa bajaj zilizojaa barabarani kwa sasa. Abiria unalazimika kulipia 1000 mpaka manzese, alafu ukapandetena Buses zinazotoka Mabinokwenda mnazimoja.
Uwakute sasa mawaziri wanavoshindana kumtaja daktari na awamu yake., badala ya wao kupiga kazi
 
Lilikuwa ni suala la muda tu na hatimaye unaweza kusema tumerudi nyuma au tumerudi kwenye maisha yetu ya kawaida au tuliyozoea.

Daladala za kutokea Mbezi mpaka Mnazi Mmoja kupitia Manzese, Magomeni, Fire hadi mnazi mmoja zimeanza kazi rasmi leo.

Hadi muda huu bado zipo chache sana, ila kwa sisi wazee kuliko kuendelea kukaa kusubiri mwendokasi masaa mawili hii ni nafuu.

Na ukiona una ubavu na unaweza kupanda basi unasogea hapo mnazi mmoja ukiwa umeshiba.

Tatizo tunaloenda kupambana nalo ni foleni kutokana na barabara kubana.

PIA SOMA
- Baada ya Serikali kushindwa ni muda sasa wa kurejesha Daladala za kusafirisha abiria Kariakoo-Kimara-Mbezi
Ccm wametia fora kwa aibu
 
Bora Min bus kuliko huu utitiri wa bajaj zilizochukua nafasi ya mabasi kwa sasa. Wafute bajaji zote za mmbezi/Manzese waziache daladala zifanye kazi. Wewe ingekua unapita njia hii usingeandika upuuzi wako. Buses 20/40 sii sawa na utitiri wa bajaj zilizojaa barabarani kwa sasa. Abiria unalazimika kulipia 1000 mpaka manzese, alafu ukapandetena Buses zinazotoka Mabinokwenda mnazimoja.
Marathon day, unajua kusoma?
Wapi nimetaja BAJAJ
Acha kula makongoro ya kitimoto.
 
Marathon day, unajua kusoma?
Wapi nimetaja BAJAJ
Acha kula makongoro ya kitimoto.
Nielewe, nimesema kama ni kuleta foleni basi bajaj ndio zinaleta foleni, bajaj ziondolewe na ma Bus yaletwe mengi tu 20/40 yatasaidia kwa kusaidiana na mwendo kasi, kumbuka wenyemizigo mikubwa na vitu vinavyo kataliwa kwenye mwendokasi watapata mbadala. Uniombe radhi mimi Ksheikh wapi na wapi kwenye makongoro ya kitimoto?
 
Lilikuwa ni suala la muda tu na hatimaye unaweza kusema tumerudi nyuma au tumerudi kwenye maisha yetu ya kawaida au tuliyozoea.

Daladala za kutokea Mbezi mpaka Mnazi Mmoja kupitia Manzese, Magomeni, Fire hadi mnazi mmoja zimeanza kazi rasmi leo.

Hadi muda huu bado zipo chache sana, ila kwa sisi wazee kuliko kuendelea kukaa kusubiri mwendokasi masaa mawili hii ni nafuu.

Na ukiona una ubavu na unaweza kupanda basi unasogea hapo mnazi mmoja ukiwa umeshiba.

Tatizo tunaloenda kupambana nalo ni foleni kutokana na barabara kubana.

PIA SOMA
- Baada ya Serikali kushindwa ni muda sasa wa kurejesha Daladala za kusafirisha abiria Kariakoo-Kimara-Mbezi
Hiyo ni habari njema.
Mimi hayo magari ya mwendo Kasi huduma zake zilinitia kichefuchefu siku nyingi tu.
Kwanza nauli zake zipo juu halafu huduma za kutia watu hasira tu.
 
Lilikuwa ni suala la muda tu na hatimaye unaweza kusema tumerudi nyuma au tumerudi kwenye maisha yetu ya kawaida au tuliyozoea.

Daladala za kutokea Mbezi mpaka Mnazi Mmoja kupitia Manzese, Magomeni, Fire hadi mnazi mmoja zimeanza kazi rasmi leo.

Hadi muda huu bado zipo chache sana, ila kwa sisi wazee kuliko kuendelea kukaa kusubiri mwendokasi masaa mawili hii ni nafuu.

Na ukiona una ubavu na unaweza kupanda basi unasogea hapo mnazi mmoja ukiwa umeshiba.

Tatizo tunaloenda kupambana nalo ni foleni kutokana na barabara kubana.

PIA SOMA
- Baada ya Serikali kushindwa ni muda sasa wa kurejesha Daladala za kusafirisha abiria Kariakoo-Kimara-Mbezi
Pamoja na zile juhud za kutudanganya kuleta mtendaji mwingine, tena kwa teuz za usiku lkn wapi. Wanawaza kuongeza tozo tu ila ubunifu wa kupata mapato kutokana n miradi yao hawana.
 
Ushahidi huu hapa

Screenshot_2024-06-01-00-31-55-1.png
 
Rais kaenda kutembeza bakuli anatuingiza hasara tu kwenye shirika letu la ndege, alafu utasikia anaupiga mwingi.
Yani hata sehemu za kupiga simu yeye yuko angani anatafuta pa kwenda, akikata simu tu utasikia anakwenda Malawi kwa ziara.
 
Basi waishie posta ya zamani maana mnazi mmoja ni mbali
Itakuwa jijini hujafika miaka mingi.

1. Gari za gongo la mboto nk, zinaishia mnazi mmoja.
2. Mbagala nk, zinaishia pasta ya zamani.
3. Tegeta nk, zinaishia posta mpya mtaa wa Ohio.
 
Itakua mjini umeondoka kitambo, gari za gongo la mboto na tabata zinapakia garden ya NBC
 
Kagame aliposema viongozi wa Tanzania hawana akili, mlimtolea povu kwa kusema amewatukana
"Black people are not complete human beings because THEY DON'T HAVE A GOOD BRAIN to govern the society as White people.They are still under the process of becoming the complete human beings."

Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
 
Back
Top Bottom