Daladala za Mbezi kupitia Manzese, Fire hadi Mnazi Mmoja zimeanza kazi rasmi

Daladala za Mbezi kupitia Manzese, Fire hadi Mnazi Mmoja zimeanza kazi rasmi

Jiwe aliwahi kutamka kuwa mtamkumbuka kwa mazuri yake. Karma ndiyo imeanza kujibu nini!?

Wazee wa Pwani wameshika mpini. Wao na familia zao wanajitengenezea fursa wao wenyewe na jamaa zao wa karibu. Kibaya zaidi itakuwa ngumu kumpata mrithi wa kiti cha utukufu nje ya wigo wao.

Uzalendo kwao maana yake kuwa chawa kwa kumaanisha kwa upande wao. Aione kwenye jalada Lucas Mwashambwa.
Mkuu mantiki yako ni sahihi kama utaamua kuangalia ulipo angukia na sio ulipojikwaa. Aliyevuruga usafiri wa Mwendo kasi ni Magufuli, lawama anastahili yeye sio mwingine!
 
Kama wamerudisha daladala mbezi kariakoo mbezi kivukoni baasi huu mradi wa mwendokasi gerezani mbagala rangi tatu ushaanza kunitia mawazo sana sijui utafunguliwa lini
Maana usafiri wa mbande chamanzi tuangoma kisewe kwa jioni huwa nawaonea sana wanafunzi na kina mama huruma mpaka natamani kulia
 
Ilishasemwa humu hii nchi bila kupasuana kiuhakika ni ngumu kusonga mbele. Inapaswa ukombozi wa mara ya pili upatikane dhidi ya Cartels za Chama Cha Mambuzi.
Sijui tunampataje "Traore" wa kwetu.
Kwa maana njia zote za kistaarab ikiwemo maandamano ni hazifanyi kazi!
Raia wenyewe ndo hawa.
Wengi hawajui kuoanisha maisha na siasa.
Hawana safari yoyote wanapotaka kufika.
wanawaza matokeo na si proccess ya matokeo.[very instinctive!]
hata kiongoz akisema tujibane hapa ili tufike pale wanaamua ku misuse democracy ya kura!
Wanasiasa mbadala wenyewe ndo hawa wameshajazwa "HOFU KUU"!
wanataka kupanda na kuvuna kwa wakat mmoja!
Tatizo kubwa la nchi hii ni raia kuliko hata viongoz kama zao la jamii.
Demokrasia hufanya kaz penye na raia wa sifa 2
1..well knowledgeable
2..well informed
Kwa tulipofikia
"If you want peace start war" by Publius Flavius Vegetius Renatus.
 
Hivi kulikuwa na ulazima wa kujenga vituo vya mwendokasi ambavyo vinakubali magari ya aina fulani tu?
Ni muhimu sasa wajenge vituo vya dalala kwa vile barabara yao iko pembeni.
Walikuwa wamejitengea mradi wao wa ulaji na hawakutaka gari ingine yoyote ya abiria ipite, sasa wamekula kupita urefu wa kamba, mradi umebuma. Ni muda tu, hizo barabara zao walizojitengea kila mtu atapita.
 

Lilikuwa ni suala la muda tu na hatimaye unaweza kusema tumerudi nyuma au tumerudi kwenye maisha yetu ya kawaida au tuliyozoea.

Daladala za kutokea Mbezi mpaka Mnazi Mmoja kupitia Manzese, Magomeni, Fire hadi mnazi mmoja zimeanza kazi rasmi leo.

Hadi muda huu bado zipo chache sana, ila kwa sisi wazee kuliko kuendelea kukaa kusubiri mwendokasi masaa mawili hii ni nafuu.

Na ukiona una ubavu na unaweza kupanda basi unasogea hapo mnazi mmoja ukiwa umeshiba.

Tatizo tunaloenda kupambana nalo ni foleni kutokana na barabara kubana.

PIA SOMA
- Baada ya Serikali kushindwa ni muda sasa wa kurejesha Daladala za kusafirisha abiria Kariakoo-Kimara-Mbezi
Sasa ni muda wa kununua vinoah viwili vitatu vibebe wafanyakazi wa awamu ya sita kwa bei ya juu kidogo.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom