Shekhe nasikia unakunywa bia na kula wanawake wa nje ila kitimoto ndio hugusi kabisaNielewe, nimesema kama ni kuleta foleni basi bajaj ndio zinaleta foleni, bajaj ziondolewe na ma Bus yaletwe mengi tu 20/40 yatasaidia kwa kusaidiana na mwendo kasi, kumbuka wenyemizigo mikubwa na vitu vinavyo kataliwa kwenye mwendokasi watapata mbadala. Uniombe radhi mimi Ksheikh wapi na wapi kwenye makongoro ya kitimoto?
🤣🤣🤣🤣falaa sanaaShekhe nasikia unakunywa bia na kula wanawake wa nje ila kitimoto ndio hugusi kabisa
Tanzania inakua kwa kasi sana
Lilikuwa ni suala la muda tu na hatimaye unaweza kusema tumerudi nyuma au tumerudi kwenye maisha yetu ya kawaida au tuliyozoea...
Mabasi ya mwendo Kasi yamezidiwa uwezo wa kufanya kazi,abiria wa hiyo route yaani Mdezi to Kariakoo wamekuwa wengi kuliko uwezo wa mabasi hayo ya UDART,kama Mwandishi alivyoelezea hapo lilikuwa ni suala la mda tu,nawashukuru sana viongozi wa hiyo mamlaka iitwayo LATRA kwa kuliona na kulifanyia kazi Hilo tatizo,japo wamechelewa sana lakini pongezi ziwafikie,inabidi kama kunamwekezaji mwingine atapewa hiyo kazi ya mabasi ya mwendo Kasi,itambidi asafiri aende kwenye nchi nyingine zenye mabasi kama hayo,akajifunze jinsi ya kuuendesha mradi kama huo bila kusababisha kero kwa abiria.Baada ya miaka 8 kupita, hatimaye Daladala za Mbezi- Kariakoo kupitia Morogogoro Road zimerejeshwa tena. Daladala hizi zilisitishwa mwaka 2016 baada ya Mradi wa Mabasi ya Mwendokasi kuanza ila LATRA imeamua kurejesha tena daladala hizi. Una mtazamo gani kuhusu jambo hili?
HApana ni wa kimara na mbezi tu🤣🤣Kumbe wa daslam mnateseka eeh
Ona huyu mkulima anavyojifariji.Kuishi Dar ni dalili ya umasikini