Dalali anataka nimpe elf 10tsh hii imekaaje

Dalali anataka nimpe elf 10tsh hii imekaaje

Kuna jamaa nilikua namuuliza vyumba ili nipate sehemu ya kupanga sasa kanionesha sehem lakini saiv tupo hapa anasema tumalizane yani posho yake.
Nimebaki nimeduaa mbona anataka nyingi afu cha ajabu nauli nimemlipia mimi ya kuja uku. Dah.
Madalali daa wanaishi vizur kuliko wenye nyumba! Ungemkuta mida ya kula unamnunulia chkula
 
Back
Top Bottom