Dalali anataka nimpe elf 10tsh hii imekaaje

Sana.....

Bila huyo dalali chumba angekuonaje

Ila huyu jamaa simshangai maana wabongo asilimia kubwa
Ndiyo walivyo...akishapata kageuka

Ova
2017/18 nilikosa ajira, then niliamua kuwa dalali mazee....
Ila udalali unalipa sana, isipokua unahitaji uaminifu grade 1.
Nilifanya udalali na posho yangu ndogo sana haikuwahi kua chini ya 200k
 
Kuna jamaa nilikua namuuliza vyumba ili nipate sehemu ya kupanga sasa kanionesha sehem lakini saiv tupo hapa anasema tumalizane yani posho yake.
Nimebaki nimeduaa mbona anataka nyingi afu cha ajabu nauli nimemlipia mimi ya kuja uku. Dah.
Dili kuona wapo pia bora wewe imekutana na mmoja
 
Kuna jamaa nilikua namuuliza vyumba ili nipate sehemu ya kupanga sasa kanionesha sehem lakini saiv tupo hapa anasema tumalizane yani posho yake.
Nimebaki nimeduaa mbona anataka nyingi afu cha ajabu nauli nimemlipia mimi ya kuja uku. Dah.
Kwan nauli bei gani bruh uliyo mlipia
 
Kuna jamaa nilikua namuuliza vyumba ili nipate sehemu ya kupanga sasa kanionesha sehem lakini saiv tupo hapa anasema tumalizane yani posho yake.
Nimebaki nimeduaa mbona anataka nyingi afu cha ajabu nauli nimemlipia mimi ya kuja uku. Dah.
Itakuwa kasoma shule moja na Chura Kiziwi.

Chura Kiziwi anakunja mtonyo wa commission kwanza halafu ndio anawatoa baru wa masai.
 
Ndio kazi yake amekurahisishia why usimlipe 10k ndogo sana , madalali wanataka kodi ya mwezi mzima wachukue wao Yani kama pango ni 50,000 basi ukilipia 50,000 yao ,sembuse 10k

Na ili upate sehemu nzuri mpandishie dalali hela uone anavyochacharuka kukutaftia
 
Back
Top Bottom