Mchizi analiwa me niliambiwa na jamaa wangu na sio mtu mmoja kunipa habari hizo mana nilifanya utafiti hadi sehemu alipokuwa anakaa mwanzo aliondoka kwa hizo mambo watu baada ya kumgunduwa ndipo akakimbia kitaa kaja uku mtaani kwetu1. Unaweza kuthibitisha kwamba kweli ni shoga?
2. Una ushahidi wa madai ya yeye kuliwa kinyesi hapo kwa baba?
3. Mkataba unampa mwenye nyumba haki ya kufatilka faragha ya mpangaji wake?
Kuna wafanyakazi wa serikali mashoga je ungekuwa umeajiriwa na kukutana nao ungefanyeje ? ..ungeacha kazi ili kuepukana na shoga ofisi moja ? ...wewe angalia pesa yako ya upangaji tuHabari zenu wakuu..
Naomba ushauri kuhusu mpangaji wa baba yangu
Wakuu, naomba ushauri kwenye jambo ambalo limenifanya nifikirie sana.
Mzee wangu ana nyumba anayopangisha, na kwa sasa ana mpangaji ambaye amekuwa akilipa kodi yake kwa wakati. Tatizo ni kwamba nimepata taarifa zinazodai kuwa mpangaji huyo ana mahusiano ya kimapenzi na wanaume wenzake.(Shoga)
Mzee wangu ni Muislamu na ana misimamo yake ya kidini, lakini yeye mwenyewe hajui kuhusu suala hili. Anachojua ni kwamba mpangaji analipa kodi vizuri na hana matatizo makubwa kwenye upande wa upangaji ila hata kaziyake haifahmu.
Mbaya zaidi anafanyia uchafuwake kwenye nyumba hiyo alio panga
Sasa mimi nipo njia panda. Je, ni sahihi kumweleza mzee wangu kuhusu taarifa hizo? Kama nimweleze, nimweleze kwa namna gani bila kuzua taharuki? Na je, kwa upande wa mwenye nyumba, ni mambo gani hasa anayopaswa kuangalia kabla ya kuchukua hatua yoyote dhidi ya mpangaji?
Wenye uzoefu wa sheria za upangaji au waliowahi kukutana na hali kama hii, mnaweza kunishauri namna nzuri ya kulishughulikia?
Ishu sio pesa mkuu pesa ilivyo patikana mpka kufika kwake.. naistoshe ni swala 5 mzee wanguKuna wafanyakazi wa serikali mashoga je ungekuwa umeajiriwa na kukutana nao ungefanyeje ? ..ungeacha kazi ili kuepukana na shoga ofisi moja ? ...wewe angalia pesa yako ya upangaji tu
Basi mpe taarifa mzee wako, yeye atajua afanye nini.Nikwel mkuu
Ahsante kwa ushauri wako mkuuMpe taarifa mzee nyumba yake inatumika na mtu anayejihusisha na mapenzi ya jinsia moja endelea na mambo yako yanayokuhusu wewe, ataamua mwenyewe maana nyumba alijenga yeye. Hakuna taharuki yoyote hapo unless uwe mwongo.