Koffi Annan
JF-Expert Member
- Dec 23, 2018
- 2,637
- 8,057
Binadamu mnavyotoa hukumu kwenye huu uzi ni kama hamna mtenda dhambi wote ni watakatifu mkifa leo mnaenda peponiš„²
Kama analipa Kodi tatizo liko wapiHabari zenu wakuu..
Naomba ushauri kuhusu mpangaji wa baba yangu
Wakuu, naomba ushauri kwenye jambo ambalo limenifanya nifikirie sana.
Mzee wangu ana nyumba anayopangisha, na kwa sasa ana mpangaji ambaye amekuwa akilipa kodi yake kwa wakati. Tatizo ni kwamba nimepata taarifa zinazodai kuwa mpangaji huyo ana mahusiano ya kimapenzi na wanaume wenzake.(Shoga)
Mzee wangu ni Muislamu na ana misimamo yake ya kidini, lakini yeye mwenyewe hajui kuhusu suala hili. Anachojua ni kwamba mpangaji analipa kodi vizuri na hana matatizo makubwa kwenye upande wa upangaji ila hata kaziyake haifahmu.
Mbaya zaidi anafanyia uchafuwake kwenye nyumba hiyo alio panga
Sasa mimi nipo njia panda. Je, ni sahihi kumweleza mzee wangu kuhusu taarifa hizo? Kama nimweleze, nimweleze kwa namna gani bila kuzua taharuki? Na je, kwa upande wa mwenye nyumba, ni mambo gani hasa anayopaswa kuangalia kabla ya kuchukua hatua yoyote dhidi ya mpangaji?
Wenye uzoefu wa sheria za upangaji au waliowahi kukutana na hali kama hii, mnaweza kunishauri namna nzuri ya kulishughulikia?
Una uhakika na ushahidi usiotia shaka kwamba ni shoga? Kwanini unaingilia privacy ya MTU?Mpe taarifa mzee nyumba yake inatumika na mtu anayejihusisha na mapenzi ya jinsia moja endelea na mambo yako yanayokuhusu wewe, ataamua mwenyewe maana nyumba alijenga yeye. Hakuna taharuki yoyote hapo unless uwe mwongo.
Noma sana, mchunguze sana aliyekuambia inawezekana wanakuwa wote na huyo mshkajiMe ningumu mzee bba mana hata ukaribu nae sitaki kuna mchizi mmoja aliwahi kumwomba amwazime geto ili aulie kipengele chake jamaa akampa options mbili aulie ila nayeye usiku aje amshone...jamaa alikataa š
Unawabishia waliompangisha au unanibishia mimi?Una uhakika na ushahidi usiotia shaka kwamba ni shoga? Kwanini unaingilia privacy ya MTU?
k.mmk š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£ hii mbinu umeniua mbavuOngea na mzee wako mumvizie jamaa asubuh anavyotoka mumkamate mumvue nguo zote halafu mmuweke kwenye beseni lilijaa maji mkiona bubbles mjue pancha baada hapo mnaruhusiwa kujichukulia sheria mikononi kwa mujibu wa taurati
Kwani waliompangisha ndo wanamla Hadi wasipingwe.Kama wanamla basic wasemeUnawabishia waliompangisha au unanibishia mimi?
Usimwambie tafadhari usije leta shida kwenye ndoa ya mama yakoHabari zenu wakuu..
Naomba ushauri kuhusu mpangaji wa baba yangu
Wakuu, naomba ushauri kwenye jambo ambalo limenifanya nifikirie sana.
Mzee wangu ana nyumba anayopangisha, na kwa sasa ana mpangaji ambaye amekuwa akilipa kodi yake kwa wakati. Tatizo ni kwamba nimepata taarifa zinazodai kuwa mpangaji huyo ana mahusiano ya kimapenzi na wanaume wenzake.(Shoga)
Mzee wangu ni Muislamu na ana misimamo yake ya kidini, lakini yeye mwenyewe hajui kuhusu suala hili. Anachojua ni kwamba mpangaji analipa kodi vizuri na hana matatizo makubwa kwenye upande wa upangaji ila hata kaziyake haifahmu.
Mbaya zaidi anafanyia uchafuwake kwenye nyumba hiyo alio panga
Sasa mimi nipo njia panda. Je, ni sahihi kumweleza mzee wangu kuhusu taarifa hizo? Kama nimweleze, nimweleze kwa namna gani bila kuzua taharuki? Na je, kwa upande wa mwenye nyumba, ni mambo gani hasa anayopaswa kuangalia kabla ya kuchukua hatua yoyote dhidi ya mpangaji?
Wenye uzoefu wa sheria za upangaji au waliowahi kukutana na hali kama hii, mnaweza kunishauri namna nzuri ya kulishughulikia?
Unawabishia waliompangisha au unanibishia mimi?Kwani waliompangisha ndo wanamla Hadi wasipingwe.Kama wanamla basic waseme
Exactly. Swali linakuwa -mbona yy (Mtoa mada) bado anaishi hapa Bongo ilhali na mashoga wamejaa tele? Si angeenda kuishi uhamishoni ambako hawapo?Kuna wafanyakazi wa serikali mashoga je ungekuwa umeajiriwa na kukutana nao ungefanyeje ? ..ungeacha kazi ili kuepukana na shoga ofisi moja ? ...wewe angalia pesa yako ya upangaji tu