Miss_deejjah
Senior Member
- Jul 17, 2026
- 167
- 355
Duh Kuna mmoja tulkua tunafanya nae Kaz ukimuona huwez mzania na ana mwanamke anaish nae Ile kufunika mambo, kumbe nyuma ya pazia analiwa
Huyo bodaboda alijuaje au naye ni basha ??Uko sahihi na yeye ndo mpangji maarufu ata boda ukiwauliza kwakuwatajia location ya jina lake wanakuleta mpka home na hawo wanajua..
Me kunasiku nilipanda boda narudi mtaani kwakumwelekeza ninapoenda kwakutumia jina la jamaa boda akawa ananiuliza kama nafahamu kuhusu mchizi analiwa, nikajaribu kumchimba ili aniambie zaid ila aliishia tu ivyo kuwa msela wana mla
Nauku uswahilini ndo watoto wanaaribika kwakasi sana bora akakae ata ushuani mana kapanga vyumba viwili kwa kodi yake inatosha kabisa kuishi ata chumba kimoja ushuaniHuyo bodaboda alijuaje au naye ni basha ??
Huyo atafute nyumba za kishua hizi za uswahilini hamna kazi hapo,
Kwa hiyo mnakula kodi iliyotokana na mpangaji kufukuliwa! Astaghafullillah!! Ee Mola inusuru hii dunia ya waja wako.Kalipa kodi mpaka januari tatizo mkuu
Mpaka kodi iishe nyumba itakuwa inanuka nnya hadi juu ya batiKalipa kodi mpaka januari tatizo mkuu
Ila nyumba za kupanga zina mengi. Fikiria unapanga chumba ambacho kuna mdau alikuwa anakitumia kufokolewa mcunduni.Habari zenu wakuu..
Naomba ushauri kuhusu mpangaji wa baba yangu
Wakuu, naomba ushauri kwenye jambo ambalo limenifanya nifikirie sana.
Mzee wangu ana nyumba anayopangisha, na kwa sasa ana mpangaji ambaye amekuwa akilipa kodi yake kwa wakati. Tatizo ni kwamba nimepata taarifa zinazodai kuwa mpangaji huyo ana mahusiano ya kimapenzi na wanaume wenzake.(Shoga)
Mzee wangu ni Muislamu na ana misimamo yake ya kidini, lakini yeye mwenyewe hajui kuhusu suala hili. Anachojua ni kwamba mpangaji analipa kodi vizuri na hana matatizo makubwa kwenye upande wa upangaji ila hata kaziyake haifahmu.
Mbaya zaidi anafanyia uchafuwake kwenye nyumba hiyo alio panga
Sasa mimi nipo njia panda. Je, ni sahihi kumweleza mzee wangu kuhusu taarifa hizo? Kama nimweleze, nimweleze kwa namna gani bila kuzua taharuki? Na je, kwa upande wa mwenye nyumba, ni mambo gani hasa anayopaswa kuangalia kabla ya kuchukua hatua yoyote dhidi ya mpangaji?
Wenye uzoefu wa sheria za upangaji au waliowahi kukutana na hali kama hii, mnaweza kunishauri namna nzuri ya kulishughulikia?
AstakafilulahKwa hiyo mnakula kodi iliyotokana na mpangaji kufukuliwa! Astaghafullillah!! Ee Mola inusuru hii dunia ya waja wako.
Atafute nyumba nzuri ya watu wachache kama wawili ataish vzr, Ila uswahilini kwann asihisiwe maake wanaoingia ni wanaume tuu, Tena tofauti tofautiNauku uswahilini ndo watoto wanaaribika kwakasi sana bora akakae ata ushuani mana kapanga vyumba viwili kwa kodi yake inatosha kabisa kuishi ata chumba kimoja ushuani
Me ningumu mzee bba mana hata ukaribu nae sitaki kuna mchizi mmoja aliwahi kumwomba amwazime geto ili aulie kipengele chake jamaa akampa options mbili aulie ila nayeye usiku aje amshone...jamaa alikataa 😂ALIYEKWAMBIA NDIYE ANAYEMTAFUNA ANATAKA NA WEWE UKAMTAFUNE. kolokolo3d