Dalali hakumtonya mzee wangu kuwa mtu anayetaka chumba ni shoga

Timueni ilo punga litawaletea mikosi kwenye nyumba wanaotetea humu kwenye huu uzi kwamba asifukuzwe wote nao upinde ndo maana wanamtetea upinde mwenzao
 
Habari zenu wakuu..

Naomba ushauri kuhusu mpangaji wa baba yangu

Wakuu, naomba ushauri kwenye jambo ambalo limenifanya nifikirie sana.

Mzee wangu ana nyumba anayopangisha, na kwa sasa ana mpangaji ambaye amekuwa akilipa kodi yake kwa wakati. Tatizo ni kwamba nimepata taarifa zinazodai kuwa mpangaji huyo ana mahusiano ya kimapenzi na wanaume wenzake.(Shoga)

Mzee wangu ni Muislamu na ana misimamo yake ya kidini, lakini yeye mwenyewe hajui kuhusu suala hili. Anachojua ni kwamba mpangaji analipa kodi vizuri na hana matatizo makubwa kwenye upande wa upangaji ila hata kaziyake haifahmu.

Mbaya zaidi anafanyia uchafuwake kwenye nyumba hiyo alio panga

Sasa mimi nipo njia panda. Je, ni sahihi kumweleza mzee wangu kuhusu taarifa hizo? Kama nimweleze, nimweleze kwa namna gani bila kuzua taharuki? Na je, kwa upande wa mwenye nyumba, ni mambo gani hasa anayopaswa kuangalia kabla ya kuchukua hatua yoyote dhidi ya mpangaji?

Wenye uzoefu wa sheria za upangaji au waliowahi kukutana na hali kama hii, mnaweza kunishauri namna nzuri ya kulishughulikia?
Aisee
 
Sahihi iko ivyo full stop🤣😅
 
Duuh 🙌🏿

Hakika mkuu
Nina nyumba na nimepangisha wasagaji na mashoga bila kujua, mwenyekiti wa serikali ya mtaa ambaye ndiye mwenye jukumu la kusimamia anawaogopa, ukijichanganya tu msala ni wako
 
Kwenye masharti ya hiyo nyumba ambayo si yako kuna linalohusu kuingilia faragha za wapangani na kuwaamulia sexual preferences zao? Umethibitisha akiliwa Channel O? Je nyumba kuna malalamiko rasmi labda kwamba nyumba imezingirwa na harufu ya kisamvu cha kopo cha huyo mpangaji?
 
Amna taarifazake ndo zimekuwa exposed sana kwa kitaa chetu ivi sasa na pia alipokuwa anakaa mwanzo ni kashfahizo hizo
 
Nina nyumba na nimepangisha wasagaji na mashoga bila kujua, mwenyekiti wa serikali ya mtaa ambaye ndiye mwenye jukumu la kusimamia anawaogopa, ukijichanganya tu msala ni wako
Pole sana mkuu
 
Pole sana mkuu
Ni changamoto za kawaida kwenye biashara Mkuu.
Dalali anakujulisha mpangaji amepatikana,anakutumia hela, baada ya muda unaanza kuzisikia tetesi kwa wananzengo,kodi wanatoaga ndefu hao watu hawataki usumbufu.
 
Nikweli kabisa mkuu kama sisi jamaa arumdai kodi mpaka januari
 
Habari zenu wakuu..

Naomba ushauri kuhusu mpangaji wa baba yangu

Wakuu, naomba ushauri kwenye jambo ambalo limenifanya nifikirie sana.

Mzee wangu ana nyumba anayopangisha, na kwa sasa ana mpangaji ambaye amekuwa akilipa kodi yake kwa wakati. Tatizo ni kwamba nimepata taarifa zinazodai kuwa mpangaji huyo ana mahusiano ya kimapenzi na wanaume wenzake.(Shoga)

Mzee wangu ni Muislamu na ana misimamo yake ya kidini, lakini yeye mwenyewe hajui kuhusu suala hili. Anachojua ni kwamba mpangaji analipa kodi vizuri na hana matatizo makubwa kwenye upande wa upangaji ila hata kaziyake haifahmu.

Mbaya zaidi anafanyia uchafuwake kwenye nyumba hiyo alio panga

Sasa mimi nipo njia panda. Je, ni sahihi kumweleza mzee wangu kuhusu taarifa hizo? Kama nimweleze, nimweleze kwa namna gani bila kuzua taharuki? Na je, kwa upande wa mwenye nyumba, ni mambo gani hasa anayopaswa kuangalia kabla ya kuchukua hatua yoyote dhidi ya mpangaji?

Wenye uzoefu wa sheria za upangaji au waliowahi kukutana na hali kama hii, mnaweza kunishauri namna nzuri ya kulishughulikia?
mzee wako ni wewe mwenyewe jiambie

unawezaje mpangia mzee wako cha kupangisha
 
Msikubali kuchukua kodi nyingine, ikiisha hiyo mwambie chumba kuna mgeni anakuja hapo ili aondoke. Nyumba yenu itatiwa mkosj hapo na wapangaji wengine wahame kisa wakikaa mambo ya pesa hayendi
 
Msikubali kuchukua kodi nuingine, ikiisha hiyo mwambie chumba kuna mgeni anakuja hapo ili aondoke. Nyumba yenu itatiwa mkosj hapo na wapangaji wengine wahame kisa wakikaa mambo ya pesa hayendi
Hii biashara ya upangishaji ni ngumu sana,unaijua tabia ya mpangaji akiwa tayari ndani ya nyumba.
Tunapangisha majambazi,wazinzi, mashoga, wasagaji na wengineo pasipo kujua. Unamtoa shoga anahamia msagaji.
Kuna muda nachoka na hizi kero
 
Msikubali kuchukua kodi nuingine, ikiisha hiyo mwambie chumba kuna mgeni anakuja hapo ili aondoke. Nyumba yenu itatiwa mkosj hapo na wapangaji wengine wahame kisa wakikaa mambo ya pesa hayendi
Uko sahihi kaka nashukuru sana kwa ushauri wako
 
Back
Top Bottom