Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 22,502
- 48,479
Pamoja mkuuAhsante kwa ushauri wako mkuu
Pamoja mkuuAhsante kwa ushauri wako mkuu
Kwa hiyo kaka yako au mdogo wako angekuwa shoga ungefanyeje ?.. swala tano na uchoko wa huyo jamaa vina usiana nini ? Dhambi zake ni zake na zako ni zako.Ishu sio pesa mkuu pesa ilivyo patikana mpka kufika kwake.. naistoshe ni swala 5 mzee wangu
Fanya kama haujasikiaKwake yeye hakuna shida sikwasabu hajui kinacho endelea ila mimi ndo najiona sio sahihi nieli ajue ili aweze kuamua yeye
Kama anafanya hayo mambo waziwazi Shida ipo mkuu japo ni ya kijamii zaidi.Sioni shida kama mzee analipwa kodi.. Watajua wao na mambo yao
Unajua ni heri watu au jamii imseme sio jamaa.. Ni sawa na kumzushia mtu mwiziKama anafanya hayo mambo waziwazi Shida ipo mkuu japo ni ya kijamii zaidi.
Usishangae huo mtaa hiyo nyumba ikawa icon maarufu.
Mtu anaelekezwa eneo anaambiwa pale kwa yule shoga, Nenda mbele kidogo, kunja kulia.........
Yes, kama hana ushahidi ni jambo baya sana kumsemea mtu ubaya ambao pengine mhusika haufanyi. Ila kama ana ushahidi ni sahihi kabisa akimpa taarifa mzee wake.Unajua ni heri watu au jamii imseme sio jamaa.. Ni sawa na kumzushia mtu mwizi
Ndo maana nimeshauri wa mwache then wakiona tabia mbaya wamchukulie hatua kutokana na msingi waliojiwekeaYes, kama hana ushahidi ni jambo baya sana kumsemea mtu ubaya ambao pengine haufanyi. Ila kama ana ushahidi ni sahihi kabisa akimpa taarifa mzee wake.
Uko sahihi na yeye ndo mpangji maarufu ata boda ukiwauliza kwakuwatajia location ya jina lake wanakuleta mpka home na hawo wanajua..Kama anafanya hayo mambo waziwazi Shida ipo mkuu japo ni ya kijamii zaidi.
Usishangae huo mtaa hiyo nyumba ikawa icon maarufu.
Mtu anaelekezwa eneo anaambiwa pale kwa yule shoga, Nenda mbele kidogo, kunja kulia.........
Nilitaka kumshauri hivi nikakumbuka hakuna ushahudi mgumu kama ushahidi wa kuthibitisha ushoga.Kama una uthibitisho usio na shaka basi mrudishieni kodi yake na mpeni mwezi mmoja wa kutafuta sehemu nyingine ya kwenda kuishi. Tanzania ushoga ni jinai kwahiyo mwenye nyumba anaweza kumsitishia mkataba mpangaji anaejihusisha na hivyo vitendo.