Dalali hakumtonya mzee wangu kuwa mtu anayetaka chumba ni shoga

Dalali hakumtonya mzee wangu kuwa mtu anayetaka chumba ni shoga

Hii biashara ya upangishaji ni ngumu sana,unaijua tabia ya mpangaji akiwa tayari ndani ya nyumba.
Tunapangisha majambazi,wazinzi, mashoga, wasagaji na wengineo pasipo kujua. Unamtoa shoga anahamia msagaji.
Kuna muda nachoka na hizi kero
Vizuri uwe unaongea na watu na kuivana nao, mambo kama haya wanakusanua mapema sana. .
 
Mpeni hela yake ikibidi mtafutieni nyumba nyingine kosa ni lenu sio lake
 
Ningumu mtu akuelezee yeye ni nani na anajishuhulisha na mitikasi kama hiyo
Madalali hao wana connection kila kona ya mji, wangesanuka mapema sana na kama unaivana nao na kuheshimiana hawawezi kukuuza. Ila kama ni maslahi tu ni rahisi kukuletea *****
 
Wanatia najisi na nuksi Mali zenu..mchomoe..watu waliokataliwa Na Mungu in halali Na haki yako kuwakataa pia
 
Habari zenu wakuu..

Naomba ushauri kuhusu mpangaji wa baba yangu

Wakuu, naomba ushauri kwenye jambo ambalo limenifanya nifikirie sana.

Mzee wangu ana nyumba anayopangisha, na kwa sasa ana mpangaji ambaye amekuwa akilipa kodi yake kwa wakati. Tatizo ni kwamba nimepata taarifa zinazodai kuwa mpangaji huyo ana mahusiano ya kimapenzi na wanaume wenzake.(Shoga)

Mzee wangu ni Muislamu na ana misimamo yake ya kidini, lakini yeye mwenyewe hajui kuhusu suala hili. Anachojua ni kwamba mpangaji analipa kodi vizuri na hana matatizo makubwa kwenye upande wa upangaji ila hata kaziyake haifahmu.

Mbaya zaidi anafanyia uchafuwake kwenye nyumba hiyo alio panga

Sasa mimi nipo njia panda. Je, ni sahihi kumweleza mzee wangu kuhusu taarifa hizo? Kama nimweleze, nimweleze kwa namna gani bila kuzua taharuki? Na je, kwa upande wa mwenye nyumba, ni mambo gani hasa anayopaswa kuangalia kabla ya kuchukua hatua yoyote dhidi ya mpangaji?

Wenye uzoefu wa sheria za upangaji au waliowahi kukutana na hali kama hii, mnaweza kunishauri namna nzuri ya kulishughulikia?
Njia rahisi muwekee mtego na wajulishe polisi ili mumkatate live akifanya hilo tendo na huyo mwanaume na atakamatwa apelekwe mahakamani
 
Back
Top Bottom