Dalili gani zinakujulisha kuwa umri umesogea?

Dalili gani zinakujulisha kuwa umri umesogea?

Nikiwa garage ya uswahilini, katoto kadogo pengine miaka 4 hivi kakapita na kuniamkia kwa adabu zote Shkamoo Babu! Nikakajibu Marahaba mjukuu wangu, mambo? kakajibu Mambo poa Babu. Ndio ikawa mara ya kwanza na ya pili kuitwa babu.
 
Wengi mmelalamika sana kuhusu kuamkiwa na vibinti vya 2000's. Binafsi hakuna kitu nakipenda kama kuamkiwa na vibinti vya rika hilo. Kwanza vinaamkia lakini ukivitizama usoni vinakua kama vinatania hivi. Na asilimia kubwa nimevito..mb.a saaaana na mademu wengi niliowatanua miguu siku ya kwanza tulipo kutana walianza kwa kuniamkia.

Kwanza vibinti vya 2000's vitamu, chuchu saa 6, nyuchi zao hazijaenda mileage sana, wanaililia vizuri mashine iwapo ndani ya kitumbua, yaani vilio vyao sio fake hivyo najikuta tu nikiamkiwa na rika hilo pumbu zinaanza kuunguruma kama transfoma na mashine inaanza kusimama. Hata kama ni barabarani unakuta kitu mnara.

Shikamoo zao zinatia nyege sana hawa watoto. Au nina pepo wakulungwa? Maana nina upepo nao hadi nashangaa.

Juzi nimepanda nacho gari kimoja zile siti za watu wawili. Kalipandia soweto, kwa wakazi wa Mbeya wanapajua. Sasa kakaja kakaniamkia kisha kakakaa na mimi. kalivaa sketi nyeusi inaishia magotini, kwahiyo alivyokaa sketi ikapanda juu kidogo. Akavua begi lake mgongoni na kulipakata ili kufunika sehemu ya mapaja iliyo wazi. Ila mimi nikawa nayachungulia vivyo hivyo kilijendi mpaka akajua kua nayamezea mate mapaja yake. Na ni kabinti kazuri nachuro. Kana nywele ndefu sana na hazijatiwa dawa, kamezibana flani hivi kwa namna wafanyavyo wasabato.

Tunafika mwanjelwa konda anadai nauli binti angnitazama usoni kwa kuibia hivi. Shetani akanilamba zinga la kwenzi akanitishia hadi ngumi na kuniambia changamka kijana. Kwa spidi ya mwewe nikatoa buku fasta niampa konda nikaonesha kwa ishara kwamba kata wawili mimi na mwanadada hapa. Binti katulia tu. Gari inaondoka tu mwanjelwa konda akaita kituo. Abiria wa mafyati? Binti akasema shuusha. Nikampa sim fasta kuashiria aandike namba na akafanya hivyo. Na hayo yote yalikua yanatokea kimya kimya mithili ya muvi za lijendi Charlie Chaplin.

Jana sasa mida ya mchana nikampigia nikajitambulisha na kukaalika lunch, akasema ana kipindi anaingia muda si mrefu. Kumbe kanasoma mzumbe. Tukaonana saa kumi jioni, nikakavuta mpaka lodge. Tooomba sana na nimelala nako mpaka asubuhi. Tumeagana mida ya saa nne kanarembua rembua tu. Sasa leo nataka nikale ndogo maana kana tako moja lainii kubwa kiasi na linavutia ajabu.

Hapa naskilizia kama mizinga itaanza. Maana watoto wa mzumbe nao si haba kwenye URM (yaani United Republic of Mizinga)

Msiogope shkamoo wakulungwa. Shkamoo ni starter nzuri sana ya mapenzi. Mbona hata haya majimama tunayo yalamba tunaanzaga kwa kuyaamkia..

Hivi vibinti siku hizi vinapenda wakubwa.
 
Kuna mama niliongea nae, aliniambia ukikutana na traffic ukawaona ni vijana wadogo au daktari hospitali ukamuona ni kama mjukuu wako. Hapo hakuna ubishi wa chumvi uliyoila duniani.
Pale unaitwa mama na konda wa daladala...unajua tayari
 
Kila naemuona rika langu ananiita bro...mi Mwenyewe redio nayoisikiliza nimekua redio free Africa ,sipendi miziki ya vijana yani mkianzisha Mada za nyimbo za vijana wa bongo siwajuii yani nakua sitambui chochote.yani bongo najua alikiba,diamond,Huyo harmonizer (kwa sauti ya mwenda zake)
 
Kuna mama niliongea nae, aliniambia ukikutana na traffic ukawaona ni vijana wadogo au daktari hospitali ukamuona ni kama mjukuu wako. Hapo hakuna ubishi wa chumvi uliyoila duniani.
Jinsi shikamoo zinavyoendelea kuongezeka. Miaka mitano nyuma nilikuepo sipewi shikamoo kama ilivyo hivi sasa . Hii ni Dalili kwamba umri umesogea
 
Kila nikiangalia pumbu zimezidi kuning'inia zaidi na zaidi najisemea ihiiiiiiiiii
 
Kufatilia taarifa za habari,nafuatilia sana kwangu sasa hivi music ni wa Dini tena sauti chini ehhh Enzi zangu mtaa mzima nilikuwa nafungulia sauti mwisho kabisa Enzi ya CD yaan nilikuwa naona sifa sana... Kina Juma nature kizazi cha kina majani kipindi hicho bDozen na yule Dada alifarik sijui vivi ilikuwa huniambii kitu.. Sasa hivi naweza nikaingia mahali hata kwenye usafiri wa uma.radio juu nikawanyakia..wapunguze sauti,navaa kuendana na age yangu,Pesa yote nikipata inawazia maendeleo tu...kuvaaa sio kipaumbele change tena..
Naweza kutumwa ukweni...dohh kwl nimekuwa.sina aibu tena.
 
Mie kuna siku mwendokasi inaanza nikapanda kuona likoje. Nimeingia nimekosa siti kuna mtu mzima akanipisha akaniambia kaa mzee. Nilijitathmini njia nzima na ndio ilikuwa mwisho wa kupanda mwendokasi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom