Dalili kubwa 20 za mtu kuwa na uchawi mwilini

Dalili kubwa 20 za mtu kuwa na uchawi mwilini

Kakak sijakulazimisha u comment Thread yangu wewe mwenyewe unajifanya una PHD yako ni feki mbona watu hatusemi kuwa una PHD yako ni feki tena ya utapeli. Jiheshimu Trhead za Watu ukishindwa ku comment kitu soma kisha pi,ta nna njia za ko hukulazimishwa ku -Comment jifunze kuwa na heshima utaheshimiwa usijifanye muhuni mimi pia ni muhini acha ujinga wako kaka.
Sasa wewe Dr gani hujui tofauti ya PHD na PhD?
 
Walio comment Thread yangu karibu wengi wao ni Wachawi nimetoa siri zao ndio maana wanaponda Thread yangu . Nimegunduwa katika vipimo vyangu kuwa nimewa kwaza Wchawi wa Jamii Forums. Tutawapiga vita Wachawi popote pale mulipo na Mungu atawaingiza kesho akhera Motoni. Ukitaka watu wakupige vita sema Vitu 2 Ushoga na Uchawi wengi wa vijana siku hizi ni Mashoga na wengi wa vijana ni Wachawi wanarithishwa na wazee wao huo Uchawi. Kwa hiyo ukitaka uwe unapigwa vita basi wewe zungumza Ushoga na uchawi utawaona Wachawi na Mashoga jinsi wanavyokupiga vita.
 
Sasa wewe Dr gani hujui tofauti ya PHD na PhD?
Wewe kwanza unajiita Doctor wakati ni feki sio Doctor kisha unajiifanya una PhD mtu mwenye PhD hawezi kuja ku-Comment hapa katika Thread yangu. Mtu mwenye PHD anaheshimika duniani wewe una PhD feki ya utapeli ndio maana umekuja hapa katika Thread yangu ku-Comment na kuweka maneno yako ya Pumba. Umejipachika Vyeo vya U-Doctor na PhD vyeo feki wakati huna hata cheo kimojawapo katika hivyo vyeo ulivyojipachika. Katika watu niliokuwa nina waheshimu humu ndani wewe ni mmoja wapo lakini leo nimekuona kumbe ni mtu Muhuni na tapeli hufai kuheshimika .
 
Sasa wewe Dr gani hujui tofauti ya PHD na PhD?
Share. A PhD is a terminal academic degree students typically pursue when they're interested in an academic or research career. A PhD is the highest possible academic degree a student can obtain. It stands for “Doctor of Philosophy,” which refers to the immense knowledge a student gains when earning the degree.
 
Hili nalo ni la kugoogle? haya tueleze na PHD ni nini?
 
Hili nalo ni la kugoogle? haya tueleze na PHD ni nini?
Share. A PHD is a terminal academic degree students typically pursue when they're interested in an academic or research career. A PhD is the highest possible academic degree a student can obtain. It stands for “Doctor of Philosophy,” which refers to the immense knowledge a student gains when earning the degree.
 
PHD na siyo PhD?
 
Sawa hiyo ya miluzi masikioni si ni Tinnitus hiyo, sasa na kulogwa wapi na wapi
 
Walio comment Thread yangu karibu wengi wao ni Wachawi nimetoa siri zao ndio maana wanaponda Thread yangu . Nimegunduwa katika vipimo vyangu kuwa nimewa kwaza Wchawi wa Jamii Forums. Tutawapiga vita Wachawi popote pale mulipo na Mungu atawaingiza kesho akhera Motoni. Ukitakata watu wakupige vita sema Vitu 2 Ushoga na Uchawi wengi wa vijana siku hizi ni Mashoga na wengi wa vijana ni Wachawi wanarithishwa na wazee wao huo Uchawi. Kwa hiyo ukitaka uwe unapigwa vita basi wewe zungumza Ushoga na uchawi utawaona Wachawi na Mashoga jinsi wanavyokupiga vita.
Dah afya ya akili inazidi kuwa tatzo kubwa mno.
 
Somo la darasa la tatu hilo,,,dalili zote hizo ni kazi ya milango mitano ya fahamu jinsi inavyofanya kazi
 
Wataalamu ni wachawi, hawaezi Kutoa uchawi au Pepo bila kushirikiana.

Yesu ndio suluhu ya Kweli.

Amen
 
Kaka sijakulazimisha U comment Thread yangu wewe mwenyewe unajifanya una PhD yako ni feki mbona watu hatusemi kuwa una PhD yako ni feki tena ya utapeli. Jiheshimu Trhead za Watu ukishindwa ku comment kitu soma kisha pi,ta na njia za ko hukulazimishwa ku -Comment jifunze kuwa na heshima utaheshimiwa usijifanye muhuni mimi pia ni muhini acha ujinga wako kaka.
Mzee mzizimkavu, huyu mloge kabisa ili atambue wewe ni nani mkuu!.
Tena mshirkishe na Mshana Jr ili umfanye shizz wa majalalani kabisa! 😀
 
Kaka sijakulazimisha U comment Thread yangu wewe mwenyewe unajifanya una PhD yako ni feki mbona watu hatusemi kuwa una PhD yako ni feki tena ya utapeli. Jiheshimu Trhead za Watu ukishindwa ku comment kitu soma kisha pi,ta na njia za ko hukulazimishwa ku -Comment jifunze kuwa na heshima utaheshimiwa usijifanye muhuni mimi pia ni muhini acha ujinga wako kaka.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom