Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
- Thread starter
-
- #21
Unacho takiwa kufanya ni kujitibia tafuta mtaalam unaye muamini ili aweze kukutibia uondokane na hayo mabalaa yako mwilini.Ehe, halafu ukoshaona dalili unatakiwa kufanyaje sasa
Sasa wewe Dr gani hujui tofauti ya PHD na PhD?Kakak sijakulazimisha u comment Thread yangu wewe mwenyewe unajifanya una PHD yako ni feki mbona watu hatusemi kuwa una PHD yako ni feki tena ya utapeli. Jiheshimu Trhead za Watu ukishindwa ku comment kitu soma kisha pi,ta nna njia za ko hukulazimishwa ku -Comment jifunze kuwa na heshima utaheshimiwa usijifanye muhuni mimi pia ni muhini acha ujinga wako kaka.
Wewe kwanza unajiita Doctor wakati ni feki sio Doctor kisha unajiifanya una PhD mtu mwenye PhD hawezi kuja ku-Comment hapa katika Thread yangu. Mtu mwenye PHD anaheshimika duniani wewe una PhD feki ya utapeli ndio maana umekuja hapa katika Thread yangu ku-Comment na kuweka maneno yako ya Pumba. Umejipachika Vyeo vya U-Doctor na PhD vyeo feki wakati huna hata cheo kimojawapo katika hivyo vyeo ulivyojipachika. Katika watu niliokuwa nina waheshimu humu ndani wewe ni mmoja wapo lakini leo nimekuona kumbe ni mtu Muhuni na tapeli hufai kuheshimika .Sasa wewe Dr gani hujui tofauti ya PHD na PhD?
Share. A PhD is a terminal academic degree students typically pursue when they're interested in an academic or research career. A PhD is the highest possible academic degree a student can obtain. It stands for “Doctor of Philosophy,” which refers to the immense knowledge a student gains when earning the degree.Sasa wewe Dr gani hujui tofauti ya PHD na PhD?
Hili nalo ni la kugoogle? haya tueleze na PHD ni nini?Share. A PhD is a terminal academic degree students typically pursue when they're interested in an academic or research career. A PhD is the highest possible academic degree a student can obtain. It stands for “Doctor of Philosophy,” which refers to the immense knowledge a student gains when earning the degree.
Share. A PHD is a terminal academic degree students typically pursue when they're interested in an academic or research career. A PhD is the highest possible academic degree a student can obtain. It stands for “Doctor of Philosophy,” which refers to the immense knowledge a student gains when earning the degree.Hili nalo ni la kugoogle? haya tueleze na PHD ni nini?
PHD na siyo PhD?Share. A PHD is a terminal academic degree students typically pursue when they're interested in an academic or research career. A PhD is the highest possible academic degree a student can obtain. It stands for “Doctor of Philosophy,” which refers to the immense knowledge a student gains when earning the degree.
Dah afya ya akili inazidi kuwa tatzo kubwa mno.Walio comment Thread yangu karibu wengi wao ni Wachawi nimetoa siri zao ndio maana wanaponda Thread yangu . Nimegunduwa katika vipimo vyangu kuwa nimewa kwaza Wchawi wa Jamii Forums. Tutawapiga vita Wachawi popote pale mulipo na Mungu atawaingiza kesho akhera Motoni. Ukitakata watu wakupige vita sema Vitu 2 Ushoga na Uchawi wengi wa vijana siku hizi ni Mashoga na wengi wa vijana ni Wachawi wanarithishwa na wazee wao huo Uchawi. Kwa hiyo ukitaka uwe unapigwa vita basi wewe zungumza Ushoga na uchawi utawaona Wachawi na Mashoga jinsi wanavyokupiga vita.
Huyu kitambo tu nshagasema ni tapeli watu wakanshambulia.Mzizimkavu unajiharibia sifa zako humu ulizonazo
Wanataka kukufanya kuwa shogaKidude kinarudi ndani kama kibamia duh hao wachawi ndio wanakuwa wanataka kufanya nn tena
Mzee mzizimkavu, huyu mloge kabisa ili atambue wewe ni nani mkuu!.Kaka sijakulazimisha U comment Thread yangu wewe mwenyewe unajifanya una PhD yako ni feki mbona watu hatusemi kuwa una PhD yako ni feki tena ya utapeli. Jiheshimu Trhead za Watu ukishindwa ku comment kitu soma kisha pi,ta na njia za ko hukulazimishwa ku -Comment jifunze kuwa na heshima utaheshimiwa usijifanye muhuni mimi pia ni muhini acha ujinga wako kaka.
Kaka sijakulazimisha U comment Thread yangu wewe mwenyewe unajifanya una PhD yako ni feki mbona watu hatusemi kuwa una PhD yako ni feki tena ya utapeli. Jiheshimu Trhead za Watu ukishindwa ku comment kitu soma kisha pi,ta na njia za ko hukulazimishwa ku -Comment jifunze kuwa na heshima utaheshimiwa usijifanye muhuni mimi pia ni muhini acha ujinga wako kaka.