Baba Kisarii
JF-Expert Member
- May 7, 2024
- 1,844
- 3,089
Msamehe bure, jamaa ka copy sehemu kiisha akanzisha thread, hajui lolote kuhusu suluhisho kulingana na alichoeleza kwa bandikoBaada ya haya maneno nilitegemea utoe siluhisho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msamehe bure, jamaa ka copy sehemu kiisha akanzisha thread, hajui lolote kuhusu suluhisho kulingana na alichoeleza kwa bandikoBaada ya haya maneno nilitegemea utoe siluhisho
Ndoto ni mawazo yako tu unayokuwa nayo wakati upo macho, tujifunze kuwa na mawazo chanya. Na tujitahidi kusoma vitu vyenye kuboresha afya zetu za akiliMkuu huwa
naota unaendesha tandamu🥶hii nayo vipi
😅Jokes tu mkuu haina maana yoyote kabsaNdoto ni mawazo yako tu unayokuwa nayo wakati upo macho, tujifunze kuwa na mawazo chanya. Na tujitahidi kusoma vitu vyenye kuboresha afya zetu za akili
Way through ni nini sasa?
Duh...Sasa kuna siku nikaota natafuna chapati za mawe! Nikawa meno anafanya kocho! kocho"! Kwahiyo na apa penyewe vipi.
IleteSasa mku
Sasa mkuu, unaweza tafsiri ndoto? Ukijibu ndiyo kuna ndoto yangu niliwahi ota nikiwa mdogo hadi leo naikumbuka ila sijui maana yake
NimemjibuAme copy anakosa majibu
Ame copy anakosa majibu
Way through ni nini sasa?
Suluhisho ni nini sasa?
Way through ni nini sasa?
Niko busy muda wa KAZI, Ila nilishatoa suluhu.Ka copy sehemu tu huyu maana hata kutoa solution anashindwa
Way through ni nini sasa?
Suluhisho ni nini sasa mkuu?
Way through ni nini sasa?
Sifi kamweUsikufe bhanaaa 🤩🤩🤩
Sasa tutahakikisha vipi hicho unacho kisema ni ukweli?Mambo yangu personal siwezi kuweka hadharani
Da!!!! wa2 wengi sana 2napitia changamoto hizi!!!ZIFUATAZO NI BAADHI YA DALILI NANE MUHIMU ZINAZOONYESHA KUWA MALANGO YAKO YAMEFUNGWA NA ADUI🦸🦸🦸
1. UNAPOTEZA KIBALI NA BADALA YAKE UNATAWALIWA NA ROHO YA KUKATALIWA(SPIRIT OF REJECTION).
Inawezekana ikawa kwenye ndoa,uchumi, biashara,uzao,afya,familia,uchumba,kazi,siasa,uongozi(utawala).
Ukiona haupati kibali na unakataliwa basi ujue malango yako ya hiyo sehemu yamefungwa na wachawi.
2.KILA UANZALO KULIFANYA UNAJIKUTA HALIFIKII MWISHO WA UTUKUFU(LINAISHIA NJIANI)
Haijalishi ni biashara,kazi,mradi,kampuni,ndoa,familia,
Na mahali penginepo unashangaa unaanza vizuri lakini unaishia njiani(hauoni kuufikia mwisho wa malengo).
3.KUJIRUDIARUDIA KWA CHANGAMOTO AU TATIZO LINALOFANANA LINALOPELEKEA KUKUZUIA KUSONGA MBELE.
Changamoto hiyo inaweza kuwa ni kuanguka kwa mtaji,
Kuongezeka kwa madeni,ugonjwa,kuibiwa,kufilisiwa,kutapeliwa,kuachika,kufukuzwa,kuaibishwa,
Hali ambayo inajirudiarudia kila mara kwenye eneo hilo.
4.KUKUTANA NA VIZUIZI(VITA KALI) AMBAVYO INAPITA UWEZO AU NGUVU ULIZONAZO.
Ujue kwamba adui akifunga malango anao uhakika wa kwamba huwezi kuvuka kwa namba yoyote ya kibinadamu
Yaani akili zako,nguvu zako Wala uwezo wako.
Yaani vinginevyo Mungu mpaka aingilie kati.
5.JITAHADA YA NGUVU UNAZOTUMIA HAZIENDANI NA MATOKEO UNAYOPATA.
Yaani ni sawa na kupata hasara
Maana unajikuta unatumia nguvu kubwa lakini matokeo madogo,
Kuna waswahili wanasema
"Nguvu tembo,matokeo sisimizi,)
6.HUONI MIPENYO(BREAKTHROUGH)
KWA MUDA MREFU.
Yaani wakati wengine wanafanya hichohicho unachokifanya wanafanikiwa na kuongezeka,
Wewe ndio kwanza unarudi nyuma(backsliding) na muda unazidi kupotea.
🤔🤔
7.KILA MIPANGO YA MAFANIKIO UNAYOPANGA UNAJIKUTA INAHARIBIKA KABLA YA KUITEKELEZA.
Inaweza kuwa mipango ya ndoa, biashara,kazi ,uchumi,familia ,huduma,na mahali penginepo
Unajikuta inaharibika kabla ya kutekelezeka.
8.KUTAWALIWA NA MADENI YASIYO NA SURUHISHO....
Hapa ninamaanisha madeni ambayo ulipokopa unajikuta hufanyii mambo ya maana na kila ukijitahidi kuyaondoa inashindikana...
Na zaidi yanakusukuma kwenye utumwa mkubwa wa nafsi pasipo suruhisho lolote penginepo badala ya kupungua ndio kwanza yanaongezeka....🤔🤔
9.UNAKUWA UNAOTA NDOTO MBAYA ZA KUTISHA,😒😒😒
Mfano wa ndoto hizo ni kama zifuatazo:
✍️ Unakuwa Unaota unafukuzwa na wanyama wakali (wakiwemo ng'ombe).
✍️Unakuwa Unaota unaishi vijijini ulikozaliwa wakati kwa uhalisia hauishi huko.
✍️Unaota unazini na watu unaowafahamu na usiowafahamu.
✍️Kuota unasoma shule ya msingi au sekondari wakati kwa uhalisia ushapita huko.
✍️Unakuwa Unaota unatembea pekupeku(bila viatu)
Wakati mwingine Unaota uko uchi kabisa.
✍️Unaota umedumbukia chooni au kwenye shimo au unaishi chooni kabisa.
✍️Unaota unanyonyesha watoto wakati kwa uhalisia hauna mtoto mdogo.
✍️Unaota unanyolewa nywele.
✍️Unaota unazikwa ingali uko hai
Wakati mwingine jeneza linapita mbele Yako.
✍️Unaota unatolewa damu hospitalini.
✍️Unaota unakula chakula.
✍️Unaota unashirikiana na watu waliokufa.
Hizo ni baadhi ya ndoto.
10.Wengine wakiota ndoto wanapoamka asubuhi hawakumbuki chochote kabisa,
Nayo hiyo ni dalili ya malango Yako ya baraka kufungwa.
Waswahili tunarogana sana, na hamna watu wabaya kama nduguDa!!!! wa2 wengi sana 2napitia changamoto hizi!!!
Mungu halisi ni MwafrikaUafrika ni laana,Mungu wabariki wazungu.
braza acha kabisa,mimi nikitembelewa na ndugu kutoka mikoan huwa nawakodishia gest ingawa na nyumba,,,kwangu kulala labda mama na baba!!! m2 umkabidhi chumba usiku anafanya mabalaa,matokeo yake maradhi hayaishi,magomvi na mwenzo[kama unaye hayaishi],kama unamifugo haiendelei,,,,kama unawatoto walio vizuri darasani wanaanza kushuka,,,yaaani da!!Waswahili tunarogana sana, na hamna watu wabaya kama ndugu