crocodile
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 3,864
- 2,955
Tanguliza heshima wewe. Chama la wananchi hilo.Uporoto yaweza kuwa siasa pia chief.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanguliza heshima wewe. Chama la wananchi hilo.Uporoto yaweza kuwa siasa pia chief.
Mtu. Miaka mitano unafanya siasa wewe tu, kwa kujigamba kuwa umefanya makubwa, ila bado hujiamini, hata kuwaachia wapinzani miezi mitatu tu wafanye siasa bado una ogopa?!! Na mwaka huu hata mzuka wa watu juu ya huo UCHAFUZI, hawana!!!CCM inashindana na mtu aliyepigwa pingu na yuko kifungoni. Hakuna haja ya tambo na majivuno. Washindani wamekuwa jela miaka yote mitano kutokana na marufuku za kufanya siasa. Tume ya uchaguzi, sheria na kanuni za uchaguzi, mahakama na vyombo vya usalama vyote vinaibeba CCM. Kwa hari hii uko sahihi 100% kwa CCM kuendelea kutawala - watu watake au la.
Sasa kama Magufuli amefanya makubwa kwanini mnaharisha mkiwaona tu hata wanakwaya wa upinzani??Vikao vya ndani vinakuwa vile? Kina mama wanakata miuno?
Hakuna cha kulazimisha matokeo ni kwamba wananchi wa wamekubali mziki wa Ccm. Uchaguzi wa serikali za mitaa mlisusa. Hizo habari zingine ni visingizio vya kushindwa.Mkuu Chagu kwa nini unafananisha hali ni na dalili badala ya kuyaita matokeo ambayo yanatalazimishwa kutokea kwa njia iwayo yote ile. Pengine tungeweza kuita kuwa ni dalili kama tu endapi kungekuwa na mazingira rafiki ya kuendesha siasa miongoni mwa vyama washindani.
Picha halisi tuliipata wakati wa uchaguzi wa 2019 wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji. Ahadi zilikuwa ni hizo hizo kuwa utakuwa ni huru na wa haki. Kilichotokea kila mtu alishihudia vitimbwi vyake.
Sasa huu ambao nao una uelekeo na viashiria vyote vya kutokuwepo kwa waangalizi wa kimataifa, utatamalaki kwa rafu na magoli ya mkono na hata kuhamisha magoli. Washehereshaji wakiwa ni NEC, RCs, DCs, TISS, Jeshi la Polisi na "player" mpya aliyesajiliwa msimu huu yaani PCCB.
Wewe ndio wale akina baba mnaokula chakula chote mpaka cha watoto halafu mnajivuna kwa kuwa na vitambi vikubwa wakati watoto wenu wana kwashakoo kutokana na ulafi wenu. Mtu mwenye akili hawezi kamwe kufurahia mazingira ya siasa yalivyo sasa Tanzania isipokuwa wajinga kama wewe.Wahenga walisema ukiona wingu zito limetanda angani ujue kuna mvua kubwa inakuja kunyesha hivyo chukua tahadhari na tafuta mahala salama ujikinge. Siku zinazidi kuyoyoma na wapinzani wa CCM ndio wanazidi kunywea maana wanajua kwenye uchaguzi wanaenda kukutana na kichapo cha ukweli.
Ninajua wanajiuliza majukwaani watanadi sera gani? Wanakosa majibu. Wanajiuliza tukisimamisha wagombea wa ubunge wanakosa majibu nani atafaaa au nani atarudi tena. Wamekuwa wa baridi na hatusikii hata dalili za watia nia wao maana kila jimbo ni kama kuna shoti ya umeme na wanaogopa kuweka mkono.
Lakini nini hasa sababu ya haya yote? Ni uadilifu, uchapakazi na uzalendo wa JPM ndio umeipa nguvu na kiburi CCM na sasa ina uhakika wa kuchukua kiti cha ubunge au udiwani katika eneo lolote. Maana ni ndani ya miaka minne tu, watu wameshuhudia mabadiliko makubwa sana.
Sekta ya afya, elimu, miundombinu na ulinzi na usalama zote zimeimalishwa. Wapinzani uchwara wanaona aibu tu kukubali na kukaa kando. Lakini wangekuwa na busara wangetulia na kukaa kando.
Usiwe naive,Naona unachanganya mada. Hakuna kinga ya viongozi wasishitakiwe. Watashitakiwa ila kupitia kwa Ag. Fuatilia mambo kwa undani.
We kichwa chako kimejaa manailoni? Mashitaka kupitia kwa Ag unashindwa kujua ni kitu gani? Kwani hao mawakala wenu huwa mnawaweka wa nini?Usiwe naive,
AG gani wa kumshitaki raisi??
Kwanza matokeo ya uraisi hayapingwi mahakamani,
Ujambazi uliofanyika kwenye chaguzi za serikali za mitaa,Mkuu ukuuona?au manono ya mfumo,yanakufumba macho,
Mkurugenzi gani atamtangaza mpinzani kama ajira yenyewe wanapewa kama hisani,
Harafu miundombinu mnayoijenga,ni pesa na kodi za wananchi,wanachama na wasio wanachama,mkifanya mazuri,tutapongeza,lakini hata mabaya,myakubali,mpo madarakani tangu Uhuru,
Wahenga walisema ukiona wingu zito limetanda angani ujue kuna mvua kubwa inakuja kunyesha hivyo chukua tahadhari na tafuta mahala salama ujikinge. Siku zinazidi kuyoyoma na wapinzani wa CCM ndio wanazidi kunywea maana wanajua kwenye uchaguzi wanaenda kukutana na kichapo cha ukweli.
Ninajua wanajiuliza majukwaani watanadi sera gani? Wanakosa majibu. Wanajiuliza tukisimamisha wagombea wa ubunge wanakosa majibu nani atafaaa au nani atarudi tena. Wamekuwa wa baridi na hatusikii hata dalili za watia nia wao maana kila jimbo ni kama kuna shoti ya umeme na wanaogopa kuweka mkono.
Lakini nini hasa sababu ya haya yote? Ni uadilifu, uchapakazi na uzalendo wa JPM ndio umeipa nguvu na kiburi CCM na sasa ina uhakika wa kuchukua kiti cha ubunge au udiwani katika eneo lolote. Maana ni ndani ya miaka minne tu, watu wameshuhudia mabadiliko makubwa sana.
Sekta ya afya, elimu, miundombinu na ulinzi na usalama zote zimeimalishwa. Wapinzani uchwara wanaona aibu tu kukubali na kukaa kando. Lakini wangekuwa na busara wangetulia na kukaa kando.
Kamguu kenyewe kakuzugia tuMbowe naye eti huku kaning'iniza kamguu kake juu ya kigoda anawalaghai makamanda wanaenda kuchukua dola, ha ha ha.
Nimekukataza kuandika upuuzi ukirudia nitakuonyesha cha mtemakuniWahenga walisema ukiona wingu zito limetanda angani ujue kuna mvua kubwa inakuja kunyesha hivyo chukua tahadhari na tafuta mahala salama ujikinge. Siku zinazidi kuyoyoma na wapinzani wa CCM ndio wanazidi kunywea maana wanajua kwenye uchaguzi wanaenda kukutana na kichapo cha ukweli.
Ninajua wanajiuliza majukwaani watanadi sera gani? Wanakosa majibu. Wanajiuliza tukisimamisha wagombea wa ubunge wanakosa majibu nani atafaaa au nani atarudi tena. Wamekuwa wa baridi na hatusikii hata dalili za watia nia wao maana kila jimbo ni kama kuna shoti ya umeme na wanaogopa kuweka mkono.
Lakini nini hasa sababu ya haya yote? Ni uadilifu, uchapakazi na uzalendo wa JPM ndio umeipa nguvu na kiburi CCM na sasa ina uhakika wa kuchukua kiti cha ubunge au udiwani katika eneo lolote. Maana ni ndani ya miaka minne tu, watu wameshuhudia mabadiliko makubwa sana.
Sekta ya afya, elimu, miundombinu na ulinzi na usalama zote zimeimalishwa. Wapinzani uchwara wanaona aibu tu kukubali na kukaa kando. Lakini wangekuwa na busara wangetulia na kukaa kando.
Afwatilie Utopolo wakoNaona unachanganya mada. Hakuna kinga ya viongozi wasishitakiwe. Watashitakiwa ila kupitia kwa Ag. Fuatilia mambo kwa undani.
Mweleze babakoHapa ni naeleza ukweli na uhalisia wa mambo yalivyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji109]Wahenga walisema ukiona wingu zito limetanda angani ujue kuna mvua kubwa inakuja kunyesha hivyo chukua tahadhari na tafuta mahala salama ujikinge. Siku zinazidi kuyoyoma na wapinzani wa CCM ndio wanazidi kunywea maana wanajua kwenye uchaguzi wanaenda kukutana na kichapo cha ukweli.
Ninajua wanajiuliza majukwaani watanadi sera gani? Wanakosa majibu. Wanajiuliza tukisimamisha wagombea wa ubunge wanakosa majibu nani atafaaa au nani atarudi tena. Wamekuwa wa baridi na hatusikii hata dalili za watia nia wao maana kila jimbo ni kama kuna shoti ya umeme na wanaogopa kuweka mkono.
Lakini nini hasa sababu ya haya yote? Ni uadilifu, uchapakazi na uzalendo wa JPM ndio umeipa nguvu na kiburi CCM na sasa ina uhakika wa kuchukua kiti cha ubunge au udiwani katika eneo lolote. Maana ni ndani ya miaka minne tu, watu wameshuhudia mabadiliko makubwa sana.
Sekta ya afya, elimu, miundombinu na ulinzi na usalama zote zimeimalishwa. Wapinzani uchwara wanaona aibu tu kukubali na kukaa kando. Lakini wangekuwa na busara wangetulia na kukaa kando.
Mh... Mkwara mbuzi.NGOJA KIPYENGA KIPIGWE ALAFU WANANCHI WAELEZWE UKWELI UTASHANGAA SANA .
Tatizo ccm tayari imeshamaliza sera kila siku ukifungua tv TBC UTASIKIA
NDEGE TUMENUNUA
RELI TUNAJENGA
SHULE TUNASOMA BURE
BWAWA LA UMEME TUNACHIMBA
YAANI HII CD ISHACHUJUKA WATU WANATAKA KUSIKIA KWANINI WENGINE WANAKATILIWA KUWA HURU NA WENGINE WANAKUWA HURU.
Na kwasababu watu sio matahira utasikia kitakachofuata.
Mbaya zaidi kipindi hiki vyama vinakwenda vikijua vimejeruhika kwahiyo tutegemee mabaya zaidi ikiwa dola haitatumia Hekima kutangaza chaguo la Wananchi
Mh... Mkwara mbuzi.
Mh...!Inahitaji hekima sana . Kwasababu mwaka huu kama dola itatumia ubabe watu watakufa sana na bahati mbaya vyama visivyokuwq katika dola yaani vile visivyotaka hisani ya dola vitapambana mno.
Mh...!