Kwa hiyo Tanzania siyo Mali ya CCM. Wote tunahaki sawa na mawazo,wasio wanaccm pia wana hoja za kujenga nchi.CCM ikubaliane na wanachotaka Wananchi wa Tanzania.Na Ccm ni mali ya watanzania wazalendo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo Tanzania siyo Mali ya CCM. Wote tunahaki sawa na mawazo,wasio wanaccm pia wana hoja za kujenga nchi.CCM ikubaliane na wanachotaka Wananchi wa Tanzania.Na Ccm ni mali ya watanzania wazalendo.
Watanzania wanataka maendeleo yanayoletwa na Ccm.Kwa hiyo Tanzania siyo Mali ya CCM. Wote tunahaki sawa na mawazo ya wasio wanaccm pia wana hoja za kujenga nchi.CCM ikubaliane na wanachataka Watanzania.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mbowe naye eti huku kaning'iniza kamguu kake juu ya kigoda anawalaghai makamanda wanaenda kuchukua dola, ha ha ha.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mbowe naye eti huku kaning'iniza kamguu kake juu ya kigoda anawalaghai makamanda wanaenda kuchukua dola, ha ha ha.
Unataka tuamini kuwa Watanzania Watakataa maendeleo yatakayoletwa na wapinzani wakishinda uchaguzi kihalali?Acha kufikiria ndani ya box,tazama mbali zaidi(nje)ya box.Tumesikia Sera na mawazo mbadala ya wapinzani, Wananchi wakiridhia mtafanyaje?Mtakimbia na masanduku ya kura?Watanzania wanataka maendeleo yanayoletwa na Ccm.
Wapinzani wa kuiletea maendeleo Tanzania hawajazaliwa. Kama ruzuku tu mil 360 mlizifanyia ufisadi na mil 100 mkalipa Mbowe deni hewa. Mkipewa tril 1.7 zitasalimika?Unataka tuamini kuwa Watanzania Watakataa maendeleo yatakayoletwa na wapinzani wakishinda uchaguzi kihalali?Acha kufikiria ndani ya box,tazama mbali zaidi(nje)ya box.Tumesikia Sera na mawazo mbadala ya wapinzani, Wananchi wakiridhia mtafanyaje?Mtakimbia na masanduku ya kura?
Kuna kesi ngapi ambazo serikali inashitakiwa na Ag anasimama kwa niaba ya serikali?
Hizo ni hisia zako. Maana wananchi hawawezi kuchagua walevi wa konyagi wakaacha kuchagua watu watakao watumikia.
Hii kitu inawachanganya sababu mnakariri na kukurupuka. Kifungu kinasema watakuwa wanashitakiwa wanapofanya shughuli za serikali. Mashitaka yatakuwa yanafunguliwa kwa Ag. Sasa hapo mnapata tabu wapi?Rais ni serikali?
CCM inapokea ruzuku ya Tshs ngapi per month/year?Wamefanyia kazi gani ya kuitolea mfano wa matumizi bora ya ruzuku?Tuache propaganda ya ruzuku,CAG anakagua mapati/matumizi ya ruzuku za vyama vya siasa.Wapinzani wa kuiletea maendeleo Tanzania hawajazaliwa. Kama ruzuku tu mil 360 mlizifanyia ufisadi na mil 100 mkalipa Mbowe deni hewa. Mkipewa tril 1.7 zitasalimika?
Hii kitu inawachanganya sababu mnakariri na kukurupuka. Kifungu kinasema watakuwa wanashitakiwa wanapofanya shughuli za serikali. Mashitaka yatakuwa yanafunguliwa kwa Ag. Sasa hapo mnapata tabu wapi?
Sio kweli mahakama zipo huru. Wewe uwe na ushahidi na uthibitisho utafanikiwa tu.Narudia tena, AG ni mteule wa rais, hakuna uwezo wowote atakubali boss wake ashitakiwe. Hiyo kusema eti atashitakiwa kupitia AG ni kufanya kelele zisiwe nyingi, ila nia ovu ya hiyo sheria iko wazi boss.
Out of point.Cc
CCM inapokea ruzuku ya Tshs ngapi per month/year?Wamefanyia kazi gani ya kuitolea mfano wa matumizi bora ya ruzuku?Tuache propaganda ya ruzuku,CAG anakagua mapati/matumizi ya ruzuku za vyama vya siasa.
Tujadili utawala bora,CCM inatimiza wajibu wake?Wapi Katiba Mpya ambayo ipo kwenye ilani yenu?Msituletee ngonjera za kumsifia hiyo mnayemfanya Malaika Mkuu.Katiba ilitakiwa kuwa kipaumbele cha kumwezesha kiongozi Mzalendo kufanya vena kuijenga nchi.Kila Mara anapeleka mabadiliko/marekebisho ya sheria kwa hati ya dharura ili kufanikisha anayoyapenda.Tulitakiwa tukamilishe mchakato wa Kuandika Katiba Mpya ili kurahisisha utawala bora.
Sio kweli mahakama zipo huru. Wewe uwe na ushahidi na uthibitisho utafanikiwa tu.
Out of point.
The same differenceOff point pls.
Acha kuishi kwa hisia na ushabiki wa kisiasa ambao hauna tija.Huru kwa wale wanaofaidika na utawala uliopo madarakani. Kama kuna kipindi mahakama imejishushushia heshima yake, basi ni chini ya awamu hii
Acha kuishi kwa hisia na ushabiki wa kisiasa ambao hauna tija.