Dalili za awali za mke/mume mwema

Dalili za awali za mke/mume mwema

Sasa huyo binti anayemtii na kumheshimu babaye ni hawa hawa ama wapo wengine…..

Kama utaweza kuniambia kwann wanawake weng siku hzi wanaolewa wangali wajawazito kibaya zaid na mimba ni kubwa tu…

Na mm ntakwambia kwann siku hizi mabikra ni wawili kati ya mia
Yani hapo ndo tunaharibu kwa kusema mabinti wenyewe ndo hawahawa inawezekana sio mabinti wote ni waasherati amini nakuambia. Huenda unaowaona wewe wako hivyo lakini kuna ambao huwajui na hujawahi waona na ni mabinti haswaaa

Zama zimebadilika kwasasa tukubali tu
Ukweli unasimama. Kwa kiasi kikubwa iko hivyo, lakini kwa wachache wanaojielewa hawaendi za zama. Zama hazina nafasi wakati mwishowe zinaharibu kabisa maisha. Hapo kila abiria achunge mzigo wake, kama unaamini hivyo shikilia hayo
 
Yani hapo ndo tunaharibu kwa kusema mabinti wenyewe ndo hawahawa inawezekana sio mabinti wote ni waasherati amini nakuambia. Huenda unaowaona wewe wako hivyo lakini kuna ambao huwajui na hujawahi waona na ni mabinti haswaaa
Mkuu niko kwenye mawasiliano humu humu 'JF na binti ambaye yuko chuo na hajawahi kumjua mwanamume. Ni raha sana hata jinsi anavyojenga hoja zake kwani bado ana clear mind. Hawa mabinti bado wapo wengi tu
 
Huu ni utetezi unaojitokeza kila mara. Mkuu, ndoa sio rehab centre, kwamba unaoa au kuolewa kwa sababu ya kumwonea huruma mtu. Ni wajibu wa wazazi na jamii kuhakikisha binti hawi kwenye mazingira ya kubakwa. Wasichana wanalindwa, ila ikitokea hivyo, basi ni kuomba rehema za Mungu.

Wazazi hao hao unaosema wawalinde binti zao kipo cases baba wamewabaka mabinti zao
 
Aise uliposema eti nisioe kwa sababu ya matako ndio nikaona hapa tunapiga tantalila. Sasa mwanamke hana tako unamuweka ndani ili iwaje? Inaoaswa mke akivaa khanga moko alafu ajipitisha wezere linavibeate unataka kumrukia tuu
Sio kila thread ni ya kila mtu. Ziko za kula tunda kimasihara, nakushauri soma hizo kwa matatizo zaidi ya akili
 
Wazazi hao hao unaosema wawalinde binti zao kipo cases baba wamewabaka mabinti zao
Hiyo ni rare cases hazikosi. Mara zote familia zenye matukio ya hovyo kama hayo utakuta kuna ukosefu mkubwa wa maadili tangu mwanzo. Pia wengine huongozwa na imani za kishirikina.

Lakini hilo bado haliondoi ukweli kwamba ni jukumu la mzazi kumlinda mwanae.
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Mkuu niko kwenye mawasiliano humu humu 'JF na binti ambaye yuko chuo na hajawahi kumjua mwanamume. Ni raha sana hata jinsi anavyojenga hoja zake kwani bado ana clear mind. Hawa mabinti bado wapo wengi tu
Wapo wengi sana ukiwa na nia nzuri ya kuoa watu kama hao utawapata.
 
Kwangu mke ni yule anayependa nipate furaha tu, izo nyingine ni mbwembwe
 
Mkuu Nyenyere haujawahi kukosea mkuu, threads zako nyingi zimenibadilisha maisha yangu.

Nimeelimika pakubwa sana kwenye nyuzi zako, Mungu akubariki sana

Hayo mafundisho yako ya kiroho ni mazuri sana na yapo deep sana, mm nimesoma seminary nimekulia kwenye dini katoliki lakini mpka sasa nafikia umri wa kijana sijawahi kupata mafundisho kama yako, kwenye nyuzi zako
 
Mkuu umeandija vizuri sana na nimekuelewa kwa % zote. Next year nampango wa kuoa bikra mmoja mahali sitaki kuoa ma x wa watu,nataka nimwage damu kwenye shuka jeupe.
Kuwapata sasa bikira ni Kimbembe.
 
Mkuu niko kwenye mawasiliano humu humu 'JF na binti ambaye yuko chuo na hajawahi kumjua mwanamume. Ni raha sana hata jinsi anavyojenga hoja zake kwani bado ana clear mind. Hawa mabinti bado wapo wengi tu
Kabisa mkuu, mabinti wote hawafanani hata kama utandawazi utakuwa vipi, kwani kila binti ana malezi aliyolelewa
 
Mkuu Nyenyere haujawahi kukosea mkuu, threads zako nyingi zimenibadilisha maisha yangu.

Nimeelimika pakubwa sana kwenye nyuzi zako, Mungu akubariki sana

Hayo mafundisho yako ya kiroho ni mazuri sana na yapo deep sana, mm nimesoma seminary nimekulia kwenye dini katoliki lakini mpka sasa nafikia umri wa kijana sijawahi kupata mafundisho kama yako, kwenye nyuzi zako
Mkuu utukufu wote tumwachie Mungu, tunashirikishana kile anachotujalia.

Pamoja sana mkuu wangu, mimi pia ni former seminarian pale St Mary's Nyegezi Mwanza
 
Back
Top Bottom