Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesema kweli kabisa, baadhi ya watu wanachukulia malezi ya jamii yao wanadhani vijana wote wamelelewa hivyo. Bado wako wazazi wenye hofu ya Mungu wanaosimama na watoto wao mwanzo mwishoKabisa mkuu, mabinti wote hawafanani hata kama utandawazi utakuwa vipi, kwani kila binti ana malezi aliyolelewa
A million dollars advice. Tunaposikia haya toka kwa wanawake wenyewe inaleta nguvu ya ajabu hata kwa mabinti wanaosoma humu. Ndugu zangu nawasihi sana, msidanganywe na tamaduni za kimagharibi zilizoshindwa tayari, hizo zimelenga kuharibu mfumo wa maisha ya ndoa.Umesema kweli mkuu, kwa binti anayemheshimu na kumtii babaye ni ngumu sana kusex kabla ya ndoa huwa kuna sauti Fulani hivi inakuja, yani unamuona kabisa mzee huyu hapa afu sasa ndo unafanya mbele yake du. Ngumu sana
Kina mama wambieni watoto wenu wakiwa wadogo kuwa bikra INA thamani mkiwaaminisha hivyo watajitunza.
Kuna watu wansema eti siku hizi hakuna bikra, acheni kuharibu akili za washana wadogo wenye nia ya kujitunza. Mabikra wapo tena hats huko vyuoni kuliko jaa ufuska mabikra wapo.
A million dollars advice. Tunaposikia haya toka kwa wanawake wenyewe inaleta nguvu ya ajabu hata kwa mabinti wanaosoma humu. Ndugu zangu nawasihi sana, msidanganywe na tamaduni za kimagharibi zilizoshindwa tayari, hizo zimelenga kuharibu mfumo wa maisha ya ndoa.
Asante sana mkuu kwa neno hili, Mwenyezi Mungu akujalie kila jema unalolitamani.
Amina kiongozi, barikiwa pia kwa kusema ukweli unaohitajika sana kwa sasa.
Hapo utapotea mkuu. Hatuoi ili mke atupe furaha, tunapaswa kuwa na furaha ndipo tuoe. Ingia kwenye ndoa ukiwa na furaha, usimpe mtu mwingine jukumu la kukupa furaha utafeli vibaya sana.Kwangu mke ni yule anayependa nipate furaha tu, izo nyingine ni mbwembwe