Dalili za Diamond Platnumz kushuka kimuziki hizi hapa

🚨🧵 Siyo kwa Ubaya wala Dharau kwa mashabiki wa Eneo fulani, point ya msingi hapa ni kuwa ,kuna Ukubwa fulani msanii akifikia
(VENUE/ mahala anapo fanyia show) kuwa na standards fulani)

Kama Ambavyo Msanii huwa Anachagua Aina ya wasanii wa kufanya nao COLLABO why not 👇

VENUE (mazingira yatakayo endana na status yake) ?!
●Neno BRAND limekuwa kama geresha tu lakini most of our favorites and icons, hawaliishi ipasavyo

Imagine msanii ndani ya mwezi, unamuona kwenye
□Arobaini ya mtoto wa fulani
■Birthday parties
■Baby shower
■mara jukwaa la siasa
■interviews 7
Na hii ni kwa wasanii wote Tanzania, lazima wawe na standards zao,siyo tu upande wa collabo

Kuwa EXPENSIVE (siyo tu gharama yako per shows) hata upatikanaji wako usiwe wa simu moja tu kama mtu asiye na mambo mengine anasubiria mchongo
Sometimes, siyo nyimbo zote zinahitaji videos
Msingi wa muziki ni ala na sauti tu, picha ni ziada, ya watu kujua anaye imba na kutengeneza bond

Tunaweza kuwa tunalaumu, directors kwa kukosa ubunifu, kumbe sometimes tunakuwa tumechoka kuwaona kila dakika

MWISHO: sina chuki na msanii yeyote, hayo ni mawazo/ mtazamo wangu
Na mchango wangu katika ukuaji wa sanaa nchini (peace)
#DramaWasHere ✍
Mnatamani tupotee kwenye Map.... roho mbaya tu
 
Nasibu ameporomoka kwa kuzingatia kigezo gani?

Jamaa ana hela..

Na anajua kucheza na akili za watu.

Ataachia chuma soon.. mtafungua UZI mwingine kusema Mondi amerudi hewani.
 
Diamond in Tz still no 1
Alikiba no 2
The rest is history

Kuhusu kupigiwa simu ,Mfano umekaa gheto huna mchongo hii utokea Sana hata kwa kina Bana boi inatokea show kukata kawaida

That way msanii au wasanii wanashauriwa Sana kusave pesa. Kutoka katika muziki ili waanzishe side hustle tofauti na muziki so nahis mond alibarikiwa akili ya kuona Kesho yake na kuandaa investment zake mapema

Namba 1 kwenye yapi?

1. Kulala na wanawake wengi kila sekunde
2. Kutojitambua kuwa mzazi... Dedi biti
3. Hajiamini na mlazimishq kutirendi
4. Hajawahi kukuza wasanii kwa Lebo yake..
5. Msanii mchoyooooo
6.
7.
8.
9.
10.

.....

30.

Malizia
 
Diamond kafika hapo juu unajua ametoa Ajira ngapi ?
 
Nasibu ameporomoka kwa kuzingatia kigezo gani?

Jamaa ana hela..

Na anajua kucheza na akili za watu.

Ataachia chuma soon.. mtafungua UZI mwingine kusema Mondi amerudi hewani.
Labda kucheza na akili yako😁
 
🚨🧵 Siyo kwa Ubaya wala Dharau kwa mashabiki wa Eneo fulani, point ya msingi hapa ni kuwa ,kuna Ukubwa fulani msanii akifikia
(VENUE/ mahala anapo fanyia show) kuwa na standards fulani)

Kama Ambavyo Msanii huwa Anachagua Aina ya wasanii wa kufanya nao COLLABO why not 👇

VENUE (mazingira yatakayo endana na status yake) ?!
●Neno BRAND limekuwa kama geresha tu lakini most of our favorites and icons, hawaliishi ipasavyo

Imagine msanii ndani ya mwezi, unamuona kwenye
□Arobaini ya mtoto wa fulani
■Birthday parties
■Baby shower
■mara jukwaa la siasa
■interviews 7
Na hii ni kwa wasanii wote Tanzania, lazima wawe na standards zao,siyo tu upande wa collabo

Kuwa EXPENSIVE (siyo tu gharama yako per shows) hata upatikanaji wako usiwe wa simu moja tu kama mtu asiye na mambo mengine anasubiria mchongo
Sometimes, siyo nyimbo zote zinahitaji videos
Msingi wa muziki ni ala na sauti tu, picha ni ziada, ya watu kujua anaye imba na kutengeneza bond

Tunaweza kuwa tunalaumu, directors kwa kukosa ubunifu, kumbe sometimes tunakuwa tumechoka kuwaona kila dakika

MWISHO: sina chuki na msanii yeyote, hayo ni mawazo/ mtazamo wangu
Na mchango wangu katika ukuaji wa sanaa nchini (peace)
#DramaWasHere ✍
Mkuu hakuna hoja yoyote strong uliyoweka kuonyesha Diamond kashuka, Diamond amepata shavu yupo kwenye series ya famous, Young & African ipo chini ya netflix kuanzia season 1 mpaka hii ya sasa season 2 teyari hapo kapata mpunga wake mzuri
 
Umaarufu wake unabebwa na nguvu ya wanawake kupitia nyota zao
 
Back
Top Bottom