Dalili za Diamond Platnumz kushuka kimuziki hizi hapa

Dalili za Diamond Platnumz kushuka kimuziki hizi hapa

Yuko busy kuanika Siri za Zari kwa wa bebez wake wapya mziki wa mdomoni labda ila bongofleva kamuachia King Kiba, momaa yeee boma liwanza.
 
🚨🧵 Siyo kwa Ubaya wala Dharau kwa mashabiki wa Eneo fulani, point ya msingi hapa ni kuwa ,kuna Ukubwa fulani msanii akifikia
(VENUE/ mahala anapo fanyia show) kuwa na standards fulani)

Kama Ambavyo Msanii huwa Anachagua Aina ya wasanii wa kufanya nao COLLABO why not 👇

VENUE (mazingira yatakayo endana na status yake) ?!
●Neno BRAND limekuwa kama geresha tu lakini most of our favorites and icons, hawaliishi ipasavyo

Imagine msanii ndani ya mwezi, unamuona kwenye
□Arobaini ya mtoto wa fulani
■Birthday parties
■Baby shower
■mara jukwaa la siasa
■interviews 7
Na hii ni kwa wasanii wote Tanzania, lazima wawe na standards zao,siyo tu upande wa collabo

Kuwa EXPENSIVE (siyo tu gharama yako per shows) hata upatikanaji wako usiwe wa simu moja tu kama mtu asiye na mambo mengine anasubiria mchongo
Sometimes, siyo nyimbo zote zinahitaji videos
Msingi wa muziki ni ala na sauti tu, picha ni ziada, ya watu kujua anaye imba na kutengeneza bond

Tunaweza kuwa tunalaumu, directors kwa kukosa ubunifu, kumbe sometimes tunakuwa tumechoka kuwaona kila dakika

MWISHO: sina chuki na msanii yeyote, hayo ni mawazo/ mtazamo wangu
Na mchango wangu katika ukuaji wa sanaa nchini (peace)
#DramaWasHere ✍
Diamond hasnt given out a hit in a long time....
 
yatapita na Zuwena sio hit song?
Those are garbages compared to what Harmonize released at the same time.

Nigga diamond is in the hole

Sijasikia hit from him in a long time....na ninaposema long time I mean long time...years!
 
Umeandika upuuzi mtupu. Kwan chunya diamond Hana mashabiki?? Acha wivu
 
Those are garbages compared to what Harmonize released at the same time.

Nigga diamond is in the hole

Sijasikia hit from him in a long time....na ninaposema long time I mean long time...years!
Hayo ni Maoni yako lakini hizo ngoma zimehit Sana mpaka video queen akawa maarufu kwa ukubwa wa hizo ngoma
 
Hayo ni Maoni yako lakini hizo ngoma zimehit Sana mpaka video queen akawa maarufu kwa ukubwa wa hizo ngoma
The past 2-3years Diamond has never given out a project better than Harmonize

Its a FACT....Deal with it

Harmonize,Marioo and others have been running circles around this Diamond fool

Never hear any hit from Diamond and his minions in a long time!

FACT is,Diamond is in the toilet gutter!
 
Hata akishuka hadaiwi na mtu. Katawala kwa muda mrefu sana jambo ambalo siyo la kawaida kwa gemu gumu kama hili la muziki. Na inavyoonekana ana akili na kawekeza vizuri hivyo hatakaa afe na njaa.

Na itachukua vizazi vingi kupatikana mwingine kama yeye. Apewe maua yake pulizi 🙌
 
Bongo HAKUNA msanii mkubwa, Bongo HAKUNA mtu maarufu...
Bongo watu/wasanii wanajifanya wakubwa kwa kujiwekea bodyguards kutembea na msafara wa magari ilimradi waonekane Wana majina na marufu...
 
Back
Top Bottom