Dalili za kuonesha tayari una ugonjwa wa Figo: Wanywa Pombe Kali Mnasalimiwa!

Dalili za kuonesha tayari una ugonjwa wa Figo: Wanywa Pombe Kali Mnasalimiwa!

Yani Profesa wa Muhimbili katoa dalili kama wale kina Profesa Maji Marefu vile.

Yani kama mganga wa kienyeji ambaye hajaenda shule, kajipachika tu hiyo hadhi ya Uprofesa.
Hamna kitu pale janabi ana ji micro manage
 
Hamna kitu pale janabi ana ji micro manage
Kinachosikitisha sasa, watu wetu wanaamini sana madaktari, wakiambiwa kitu na daktari, hata hawataki ku challenge au kutafuta second opinion.

Halafu unakutana na Profesa huyu kama Maji Marefu anaku misdiagnose unapigwa miale ya chemotherapy wakati huna hata saratani!

Mwishowe unakufa kwa mionzi wakati huna hata ugonjwa.
 
Kuna sindano ni 1mil ukichoma mgongo hauumi tena .natoa 3yrs mtanikumbuka msichome.ya huyu dr janabi
 
Kuna sindano ni 1mil ukichoma mgongo hauumi tena .natoa 3yrs mtanikumbuka msichome.ya huyu dr janabi
Zamani wale washua Muhimbili kina Prof. Philemon Sarungi, kina Prof. David Mwakyusa wote walikuwa vichwa wale, wamepanda kwa merit.

Siku hizi vipi? Mbona standards zimeshuka hivi?

Au madudu yaleyale tu, siku hizi uwazi umezidi?
 
Zamani wale washua Muhimbili kina Prof. Philemon Sarungi, kina Prof. David Mwakyusa wote walikuwa vichwa wale, wamepanda kwa merit.

Siku hizi vipi? Mbona standards zimeshuka hivi?
Kila mahala taaluma haina heshima ila janabi mzuri sana ila ana personal oppinion za kitabibu anazigenalize .
Anafunfisha kula kidogo ni afya
Kuwa kimbaumbau ni afya
Sukari ni sumu
Upuuxi ubongo chakula yake maji na sukari.na kisukari ni tumrbakizs 1yr hakuna ataeumwa tena
 
Awachie watu wa alternate medicine na waganga wa kienyeji hayo mambo experimental.
 
Science is GOD
Kuna kipindi mshua anakuja US kufanya ma yearly check up yake, mimi nikawa naona kama anafanya overkill kuja US vile, nikaona labda angefanya hapo nyumbani tu.

Lakini kwa habari kama hizi, naanza kumuelewa.
 
tatizo sisi tumekariri kuwa kufeli kwa figo kunasababishwa na pome pekee
sasa wewe endelea kutumia midawa yako ya mitishamba kupita kiasi na kutokunywa maji kwa wingi utatulete ushuhuda hapa
 
Hmmm. Umeme hauwezi kupelekea tatizo la figo unless matumizi ya muda mrefu wa dawa ambayo yanapelekea figo kuchoka. Kwa hiyo umeme hausababishi tatizo la moja kwa moja labda dawa za kutibu umeme
duh hivi kumbe arv zinaweza kuua figo ee
 
Ashazoea kamera, nini sasa kwenda kukodi na kuandaa hafla kubwa namna ile michango yenyewe imetolewa na na akina Lissu, Mbowe, Lema na Juma Nature na Lady Jay Dee.

CCM hawawezi changia mtu mpinzani hata kama yupo at deathpoint.
Raisi mama Samia Katoa milion 90 acha upotoshaji
 
Magonjwa mengine ni kujitakia tu! Sasa mapombe makali ya nini? Kuna minyama kibao duniani, wewe unafakamia mipombe!
 
Magonjwa mengine ni kujitakia tu! Sasa mapombe makali ya nini? Kuna minyama kibao duniani, wewe unafakamia mipombe!
Msongo rika, kama mimi marafiki zangu nlioanza nao ajira 1995 tukikutana wanakunywa mpaka wanabebwa.
 
Magonjwa mengine ni kujitakia tu! Sasa mapombe makali ya nini? Kuna minyama kibao duniani, wewe unafakamia mipombe!
wewe fakamia hiyo minyama , acha wao wafakamie mapombe, mbona mnapenda kupangiana matumizi? kwenye nyama napo Kuna cancer, gout etc , pote hatari tuu
 
Profesa Janabi kwenye uzinduzi wa Professor Jay Foundation ametaja dalili za mtu ambaye tayari anaugonjwa wa figo.
"Ukiwa na hizi dalili sio za mwanzo tena, tayari wewe umeingia kwenye ugonjwa wa Figo

Katika kutaja dalili hizo, salamu hizo amelekeza kwa wale Wazee wa bapa, k-vant, Nyagi na wote wanaopiga vileo vikali ili kukomesha mademu na mengine kama hayo. Prof J hata kwenye interview yake alisema kwa siku alikuwa anachoma sindano za laki 8,

Dalili za ugonjwa wa Figo

1. Kuchokachoka ambako hakuelezeki.
2. Kulala siku inakuwa shida.
3. Hamu ya kula inapungua bila kujielewa.
4. Huwezi kufikiria sawa.
5. Mwili unaanza kuwasha.
6. Miguu inaanza kuvimba.
7. Ukiamka asubuhi jiangalie kwenye kioo uso wako utakuwa wa mduara na kadiri siku zitakavyokwenda inapotea.
8. Taste ya chakula inaanza kupotea
9. Kupumua hata rafiki zako wanaanza kugundua harufu yako ya kupumua inakuwa si nzuri sana.
10. Tumbo kuuma
11. Usiku kutoka mara kwa mara kwenda haja ndogo
12. Haja ndogo kuanza kuwa na povu
13. Unaanza kuona chembechembe za damu kwenye mkojo" -
P Jb
kwa ivo mrisho mpoto ana dalili za matatizo ya figo????[manake ana uso wa mviringo]
 
Back
Top Bottom