Dalili za mapenzi kufa

Dalili za mapenzi kufa

Mimi mstaarabu

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2020
Posts
262
Reaction score
577
Naombeni kuzijua dalili za mapenzi kufa. Yaani utajuaje kama mapenzi yako yashakufa au yanataka kufa?
 
Akianza mara ooh nipo bize mara subiri kidogo jua tayari
 
Hivi ushawahi kuguess kwamba muda huu radi inatokea (Sio ule mngurumo, bali ule mwanga)?

Yani namaanisha ilikuwa ghafla tu, hata dalili siku ziona. Akawa ameenda hivyo.
 
Naombeni kuzijua dalili 10 za mapenzi kufa. Yaani utajuaje kama mapenzi yako yashakufa au yanataka kufa?

Well,

Mawasiliano kupungua hana time na wewe Kama vile ulivozoea

Anakukwepa kuonana na wewe

Hakuhitaji kimwili kama anae mwengine anampatia

Hajisumbui kutamani kuonana naww ( hakwambii muonane hata kutoka)

Hana ile vibe ya kukusaidia hata kwa vitu vidogo tu ambavyo ww ni rahisi kumfanyia

Hafurahii uwepo wako Yani ukawepo usiwepo ha appreciate chochote

Utakuta mara nyingi unamkosoa tu unajikuta unalalamika kwa vitu vingi sana kwake

Anaongea maneno ya kukuumiza sana mnapogombana hachagui la kukuambia

Unapolalamika hajisumbui kukuplease kwa kukuelewesha Hilo jambo badala yake anazidi kukuongezea malalamiko

Unapojaribu kumuulza vitu anakasirika sana

Hana confidence na kutumia simu yake mnapokua pamoja anaweza kupigiwa asipokee au kujibu sms za watu ( ana mwengine )

Ataweka silence ( anaogopa usijue linaloendelea akilin mwake)

Utakuta amepigiwa simu na mwanamke hajapokea na Umeona anaweza kukuulza kwann hujauliza sijapokea simu ( unakuta kabisa alikua anataman uanzishe ugomvi apate sababu )

Hakuruhusu uende kwake unaweza kutaka kuonana nae kwake unakuta akufata yeye

Anachukua muda mrefu sana kujibu sms zako

Harespond kwenye social media mfano unaweza kueka status nzur whatsapp iwe picha yako au chochote hakusifii kwa lolote

Hajiamini

Utamtafuta wewe tu yeye hakutafuti

Hajali kukupa chochote

Anakuomba vitu kwa mfululizo

Pesa kwa wingi anaomba

Hajali kuhusu ugonjwa wako

Ukikosa kumpa anachokitaka mfano pesa atakasirika sana anakununia hana uchangamfu na wewe

Anakua mwema sana pale anapohitaji kitu kutoka kwako

Atakukera makusudi mfano kupost mwanamme/mwanamke ili kusudi ukasirike

Anyway, sababu ni nyingi inategemea na tabia ya mtu ila kwa hayo machache unaweza kufigure out japo mawil matatu kama mwanamke au mwanaume zote zinaweza kuwa dalili yamekufa kabisa au yanaelekea ukingoni ni hayo tu machache
 
I agree au kumgoogle mtu mfno ukianza kumpenda mtu unaweza ku google dalili za kujua nampenda au ananipenda bac na penzi linapokufa unarudi tena kugoogle dalili za penzi kufa
Ila mapenzi bhana yanapelekesha kweli, ukimpenda unadadisi, ukitaka kumuacha/kuachwa unadadisi😬🙆‍♀️
 
Well,

Mawasiliano kupungua hana time na wewe Kama vile ulivozoea

Anakukwepa kuonana na wewe

Hakuhitaji kimwili kama anae mwengine anampatia

Hajisumbui kutamani kuonana naww ( hakwambii muonane hata kutoka)

Hana ile vibe ya kukusaidia hata kwa vitu vidogo tu ambavyo ww ni rahisi kumfanyia

Hafurahii uwepo wako Yani ukawepo usiwepo ha appreciate chochote

Utakuta mara nyingi unamkosoa tu unajikuta unalalamika kwa vitu vingi sana kwake

Anaongea maneno ya kukuumiza sana mnapogombana hachagui la kukuambia

Unapolalamika hajisumbui kukuplease kwa kukuelewesha Hilo jambo badala yake anazidi kukuongezea malalamiko

Unapojaribu kumuulza vitu anakasirika sana

Hana confidence na kutumia simu yake mnapokua pamoja anaweza kupigiwa asipokee au kujibu sms za watu ( ana mwengine )

Ataweka silence ( anaogopa usijue linaloendelea akilin mwake)

Utakuta amepigiwa simu na mwanamke hajapokea na Umeona anaweza kukuulza kwann hujauliza sijapokea simu ( unakuta kabisa alikua anataman uanzishe ugomvi apate sababu )

Hakuruhusu uende kwake unaweza kutaka kuonana nae kwake unakuta akufata yeye

Anachukua muda mrefu sana kujibu sms zako

Harespond kwenye social media mfano unaweza kueka status nzur whatsapp iwe picha yako au chochote hakusifii kwa lolote

Hajiamini

Utamtafuta wewe tu yeye hakutafuti

Hajali kukupa chochote

Anakuomba vitu kwa mfululizo

Pesa kwa wingi anaomba

Hajali kuhusu ugonjwa wako

Ukikosa kumpa anachokitaka mfano pesa atakasirika sana anakununia hana uchangamfu na wewe

Anakua mwema sana pale anapohitaji kitu kutoka kwako

Atakukera makusudi mfano kupost mwanamme/mwanamke ili kusudi ukasirike

Anyway, sababu ni nyingi inategemea na tabia ya mtu ila kwa hayo machache unaweza kufigure out japo mawil matatu kama mwanamke au mwanaume zote zinaweza kuwa dalili yamekufa kabisa au yanaelekea ukingoni ni hayo tu machache
Umemaliza kila kitu yani mambo ndo hayo hayo
 
If you call, text,vist and still get ignored...leave it's called self Respect
 
😂😂😂 Wewe dalili unazijua sema unataka utafutie uhakika hapa. Utaachwa muacho mmoja na hutaamini nini kimetokea 😂😂😂
 
Akikupenda saaana!me au ke! Ujue anatafuta uchochoro wa kuchokwaa!

Siku akikuacha ni mazimaaaa make anaamini utakuja tuu kuangukia!!! Angukua na wewe!!!
 
Back
Top Bottom