Mimi mstaarabu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 262
- 577
Naombeni kuzijua dalili za mapenzi kufa. Yaani utajuaje kama mapenzi yako yashakufa au yanataka kufa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naombeni kuzijua dalili 10 za mapenzi kufa. Yaani utajuaje kama mapenzi yako yashakufa au yanataka kufa?
Mpaka unaandika kuomba dalili hiyo ni dalili tosha kuwa unaachika soon😎
Ila mapenzi bhana yanapelekesha kweli, ukimpenda unadadisi, ukitaka kumuacha/kuachwa unadadisi😬🙆♀️I agree au kumgoogle mtu mfno ukianza kumpenda mtu unaweza ku google dalili za kujua nampenda au ananipenda bac na penzi linapokufa unarudi tena kugoogle dalili za penzi kufa
Yeah.Inaitwa BOOM !! BAAH!!! Chalii...Sio lazima dalili, mengine hufa pasipo dalili yoyote.
Umemaliza kila kitu yani mambo ndo hayo hayoWell,
Mawasiliano kupungua hana time na wewe Kama vile ulivozoea
Anakukwepa kuonana na wewe
Hakuhitaji kimwili kama anae mwengine anampatia
Hajisumbui kutamani kuonana naww ( hakwambii muonane hata kutoka)
Hana ile vibe ya kukusaidia hata kwa vitu vidogo tu ambavyo ww ni rahisi kumfanyia
Hafurahii uwepo wako Yani ukawepo usiwepo ha appreciate chochote
Utakuta mara nyingi unamkosoa tu unajikuta unalalamika kwa vitu vingi sana kwake
Anaongea maneno ya kukuumiza sana mnapogombana hachagui la kukuambia
Unapolalamika hajisumbui kukuplease kwa kukuelewesha Hilo jambo badala yake anazidi kukuongezea malalamiko
Unapojaribu kumuulza vitu anakasirika sana
Hana confidence na kutumia simu yake mnapokua pamoja anaweza kupigiwa asipokee au kujibu sms za watu ( ana mwengine )
Ataweka silence ( anaogopa usijue linaloendelea akilin mwake)
Utakuta amepigiwa simu na mwanamke hajapokea na Umeona anaweza kukuulza kwann hujauliza sijapokea simu ( unakuta kabisa alikua anataman uanzishe ugomvi apate sababu )
Hakuruhusu uende kwake unaweza kutaka kuonana nae kwake unakuta akufata yeye
Anachukua muda mrefu sana kujibu sms zako
Harespond kwenye social media mfano unaweza kueka status nzur whatsapp iwe picha yako au chochote hakusifii kwa lolote
Hajiamini
Utamtafuta wewe tu yeye hakutafuti
Hajali kukupa chochote
Anakuomba vitu kwa mfululizo
Pesa kwa wingi anaomba
Hajali kuhusu ugonjwa wako
Ukikosa kumpa anachokitaka mfano pesa atakasirika sana anakununia hana uchangamfu na wewe
Anakua mwema sana pale anapohitaji kitu kutoka kwako
Atakukera makusudi mfano kupost mwanamme/mwanamke ili kusudi ukasirike
Anyway, sababu ni nyingi inategemea na tabia ya mtu ila kwa hayo machache unaweza kufigure out japo mawil matatu kama mwanamke au mwanaume zote zinaweza kuwa dalili yamekufa kabisa au yanaelekea ukingoni ni hayo tu machache