Dalili za mtu anayekaribia kufa ambaye sie mgonjwa

Mtumishi ambae hajapata nyongeza ya mshahara zaidi ya miaka 5.
 
1
1&6 ndio zaidi
 
Ukweli wangu mbele za mungu hizo sifa zote ulizo zlist hapo juu mm ninazo:

Na azija anza jana wala juzi kitambo kidgo ila bado sija pass away japo shida niliyopo nayo ni mara nyingi napenda sana kukaa peke yngu na kuwaza sana kuhusu kifo au kujiua mwenyew bila sababu
 
Na mtu akiwa anasikiliza maikrofoni sikioni nini kinamnyemelea?
 
Kifo ni Fumbo ambalo hakuna anaeweza kulitatua
 
Nakubaliana na wewe kwa aslimia mia moja
 
Kuna mwamba alikuwa mchangamfu sana badae ghafla akawa mpole akaanza kukonda hakuchukua round jamaa alifariki mpaka leo sijajua nini ilikuwa tatizo japo watu wanasema alipata ngoma.
 
Mimi ni mtafiti wa Sanaa ya kifo art of death naongea from the experience
Watu wanaotoka wanagongwa na magari huko, wanapatwa na heart attack wakiwa guest, wanakunywa sumu nao wana hizo dalili? Ni mara chache sana kifo husema jiandae soon nakuja, hata wale mahututi huwa na matumaini hawatakufa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…