Future genius
Member
- Sep 21, 2015
- 7
- 0
Umenikoshaaa sanaaaa na hizi dalili. Na kwa msichana mwenye upendo wa dhati ambaye anatamani kuwa na future na mwanaume fulani pasipokuweka kigezo cha pesa mbele haya yote ni ya kweli. Ila umenichekesha namba tatu hilo la kucheka kwa nguvu hapana aisee atajifanya kutabasamu tu hata kama umemuudhi ama kupotezea ama kutabasamu hata uongeapo pumba.
Bado naamini mapenzi ya kweli yapo pasipo kuweka kigezo cha pesa mbele as others think.
Anaitwa Atoto Sijui
Mtoa sredi umenikumbusha darasa la 5 na mpenz Hawa
Wenzio tunahangaika kupata pesa,we unang'ang'ana na dalili za kupendwa?
Sawa mkuu.
Na nikitaka kujua anayenipenda hapa JamiiForums?!
Hahaha,hapo patamu hapo[emoji4]Sawa mkuu.
Na nikitaka kujua anayenipenda hapa JamiiForums?!
he he he he kwani wewe unatafuta humu ndani???Sawa mkuu.
Na nikitaka kujua anayenipenda hapa JamiiForums?!
Wanawake wa siku hizi wanakuchana tu live..."Watu wengine mnapendwa mnajishaua shaua tu" na atasema kama utani ila ndo reality show hiyo...Ni wewe tu kushika mkono nakutafuta nyumba ya wageni iliyo karibu na wewe..
Hivi ni kweli Mwanaume hana namna nyingine ya kuapriciate upendo wa Mwanamke mpaka achukue chumba mkuu??????Wanawake wa siku hizi wanakuchana tu live..."Watu wengine mnapendwa mnajishaua shaua tu" na atasema kama utani ila ndo reality show hiyo...Ni wewe tu kushika mkono nakutafuta nyumba ya wageni iliyo karibu na wewe..
Atakuwa haachi thread zako zipite hivi hivi lazima alike
Mtaje hebu....nanii hebu kuja pm, nakuonaga unani-like sana[emoji1]
Itategemea upendo huo unaosema ni upi..Kuna upendo wa Kaka na Dada, kuna upendo wa Agape, kuna upendo wa kuvuana nguo kabisa...Sasa we utajua upendo wako umebase wapi kati ya hiyo...Hivi ni kweli Mwanaume hana namna nyingine ya kuapriciate upendo wa Mwanamke mpaka achukue chumba mkuu??????